Bei gani hii
Nicheki WhatsApp mkuu, kwenye moja ya namba zangu hizoBei gani hii
mkuu hivi print yenyeuwezo wa kawaida tu naweza pata Kwa shing ngap ?Kwanini utumie gharama kubwa kuendesha printer na photocopy machine yako? umewahi kuwaza kwamba unaweza kupunguza gharama za kuendesha printer na photocopy machine yako kwa karibu 60/70% kwa ku refill cartridge yako? Tupo kwa ajili hiyo, tuna refill cartridge/toner cartridges za photocopy&printer za aina yeyote ile iliyoko sokoni sasa kwa bei nafuu kabisa (Inkjet au Laser Cartridge),
Okoa gharama za uendeshaji
Mawasiliano yetu
WhatsApp: 0622070789
CALL: 0622070789
Ama PM![]()
![]()
KWANINI UTUMIE 200,000 WAKATI UNAWEZA TUMIA 50,000 AU PUNGUFU??
Hapa "Print" ulimaanisha printer au? kuhusu printer kama printer machine hizo siuzi, mie nauza wino tu, kuhusu bei ya wino hiyo inategemea na aina ya printer yenyewemkuu hivi print yenyeuwezo wa kawaida tu naweza pata Kwa shing ngap ?
je wino wake unauwezo wa kutoa page ngap
naomba na bei ya wino
ndio nilimaanisha printer mm nataka nikatumie chuo kama kitega uchumiHapa "Print" ulimaanisha printer au? kuhusu printer kama printer machine hizo siuzi, mie nauza wino tu, kuhusu bei ya wino hiyo inategemea na aina ya printer yenyewe
Labda nikuunganishe na mtaalamu wa Printer, mie ni wino tundio nilimaanisha printer mm nataka nikatumie chuo kama kitega uchumi
muulize bei mkuu unipe ili nijue jinsi ya kujipangaLabda nikuunganishe na mtaalamu wa Printer, mie ni wino tu
mawasiliano yakomuulize bei mkuu unipe ili nijue jinsi ya kujipanga
unaficha nn sasa wakat umetangazaNicheki WhatsApp mkuu, kwenye moja ya namba zangu hizo
Kuna jambo gani nimeficha?? ziko products tofaut tofaut zaid ya 50, mkuu, unataka zote niweke hapa??unaficha nn sasa wakat umetangaza
Aya nipe bei ya hizi 05A, 85A, 78A, 64A, 26A, 49A, 53A, 12A, 17A ongeza nyingine walau zifike 15Kuna jambo gani nimeficha?? ziko products tofaut tofaut zaid ya 50, mkuu, unataka zote niweke hapa??
We hujajiuza ni kwann "wenye uhutaji" hujawaona hapa kwenye post? wanajua uwanja waliopo, anaehtaj anakuja PM, anapiga simu au ananichek WhatsApp, hata huyo nilie mwambia anichek keshanitafuta
Utaratibu wa mtu anaetaka huduma nimeuweka pale juu na kwenye baadhi ya commentsAya nipe bei ya hizi 05A, 85A, 78A, 64A, 26A, 49A, 53A, 12A, 17A ongeza nyingine walau zifike 15
Mbona hili jibu haukulitoa toka mwanzo ? kwahiyo niko sahihi niliposema unaficha na huku unatangaza !!!Utaratibu wa mtu anaetaka huduma nimeuweka pale juu na kwenye baadhi ya comments
(NB: Heshimu biashara ya mtu)
Ukikua utaachaMbona hili jibu haukulitoa toka mwanzo ? kwahiyo niko sahihi niliposema unaficha na huku unatangaza !!!
PM= Uchochoroni