K Kalila JF-Expert Member Sep 10, 2010 245 58 Sep 13, 2011 #1 Hivi jamani hizi tomato zinazowekwa kwenye vidumu huku uswahilini then hazina brand yoyote zinatengenezwa na nini na pia ni salama kwa mlaji kweli TFDA sijawasikia
Hivi jamani hizi tomato zinazowekwa kwenye vidumu huku uswahilini then hazina brand yoyote zinatengenezwa na nini na pia ni salama kwa mlaji kweli TFDA sijawasikia
Evarm JF-Expert Member Aug 30, 2010 1,934 1,400 Sep 18, 2011 #2 Hizo ni nyanya zilizooza wanazisaga na kuweka kwenye chupa, pole kwa watumiaji.