Tomahawk cruise missile

Tomahawk cruise missile

strategically, russia ikipigana us na nato atakaye imarika ni mchina na ndio mwanzo wa china kua super power

itakua kama vita vya pili vya dunia,marekani hakushiriki kwa kiwango kikubwa yeye alikua anauza tu bidhaa kwa wapiganaji hapo ndipo uchumi wake ulipo imarika na kua super power na ndivyo hivyo itatokea kwa china

na hata kama siku ikitokea china anapigana na marekani atakaye faidi atakua ni russia
TRUE! Na wala simuoni Mchina akipigana na Marekani unless iwe hapana budi! Lakini aingie kwenye all-out war on behalf of a "certain friend", simuoni Mchina akifanya huo ujinga!

Na in fact, sio tu itakuwa ndio "mwanzo" wa Uchina kuwa superpower bali watu wanamaliza vita wanakuta tayari China ni superpower manake itakuwa ni very expensive war to recover.
 
TRUE! Na wala simuoni Mchina akipigana na Marekani unless iwe hapana budi! Lakini aingie kwenye all-out war on behalf of a "certain friend", simuoni Mchina akifanya huo ujinga!

Na in fact, sio tu itakuwa ndio "mwanzo" wa Uchina kuwa superpower bali watu wanamaliza vita wanakuta tayari China ni superpower manake itakuwa ni very expensive war to recover.
na marekani akitaka aendelee kua super power afanye kila aina ya fitna ili kuwa gombanisha china na russia

cha ajabu sasa marekani anawawekea vikwazo wote wawili,china anampa vikwazo vya biashara na russia nae ana vikwazo aliyowekewa kutokana na ushiriki wake wa kule crimea,ukraine na syria

kuwawekea vikwazo hawa watu kuna wafanya waungane zaidi,na hapo marekani hata kua na wakati mgumu kama china na russia wakizidi kuungana kijeshi na kiuchumi,kama tulivyoona juzi hapa waziri wa mashauri ya kigeni wa china alivyoenda moscow na alisema wazi wazi kaenda ili kuionyesha marekani kua wao china wana uhusiano mzuri wa kijeshi na moscow hii ni hatari sana kwa marekani

alivyopita trump nilitegemea sana atakua na uhusiano mzuri na moscow ili kuidhoofisha uchina,lakini sasa kafanya vice versa

kuwapiga vikwazo china na russia kuna wafanya wawe marafiki zaidi sababu wanakua na adui mmoja,sijui trump hajaona au ndio anaogopa wamarekani wataona kwamba ni kweli moscow ili ingilia uchaguzi ili trump ashinde kwa hiyo ana neutralise the situation kwa kuipa vikwazo russia ili aonekane sio rafiki
 
Naona watu hii kitu wanaichukulia masihara, but trust me, it's not.

Tukumbuke ingawaje both Russia na US wapo Syria lakini hawapo ndani ya direct confrontation.

US yupo kuwasaidia Waasi wanaotaka kumuondoa Asad madarakani na Russia yupo Syria kuhakikisha Waasi wanaotumiwa na US hawamuondoi Assad madarakani.

Hapo juu pia ni sababu kwanini Iran yupo Syria!

Lakini hili la sasa ni tofauti. Wakati hapo kabla ni Waasi ndio walikuwa wanafanya direct confrontation kwa Assad na hivyo ku-face direct confrontation from Russia; kinachoshadadiwa hivi sasa ni Assad ku-face confrontation directly from US.

Shambulio la moja kwa moja la US kwa Syria ina maana ni shambulio la moja kwa moja la US dhidi ya majeshi ya Russia ya Iran yaliyopo Syria!

Hadi hapo, kwa kuanzia tunapata equation:

US vs Syria + Russia.

Kwavile US hawezi kupata UN support kutokana na Veto ya Russia and of course, China; hakuna shaka kimbelembele namba moja kujiunga hapo atakuwa UK.

Kuingia kwa UK kutafuatiwa mapema sana na France. The equation becomes:

US + UK + France vs Syria + Russia.

Ikifika hapo; hapatakuwa na namna bali Iran kulazimika kuendeleza alipoishia! The equation becomes:

US + UK + France vs Syria + Russia + Iran.

Kufikia hapo; kuna kimbelembele mwingine nae atataka aingie! Kimbelembele huyu mashabiki wake wanamuita "Taifa la Mungu" a.k.a Israel.

Hata hivyo, wenye shoo yao watamwambia "Dogo tulia"

Kwa upande mwingine; Russia atalazimika kusogeza majeshi yake jirani na lango la NATO. Kufikia hayo, bila shaka atatumia base zake zilizopo Belarus na kwa sasa uhusiano wa Russia na Belarus ni mzuri!

Ni muhimu sana kwa Russia kuwa Belarus kuzuia uwezekano wa NATO kuingia Russia.

That said, endapo Russia atafanikiwa kusogeza majeshi yake Belarus ina maana atakuwa jirani kabisa na Poland ambalo ni lango kuu la kuingilia NATO.

Aidha, Poland hajapata kumuamin Russia hata siku moja! In short, Russia ni Poland's greatest enemy.

To cut a long story short, hii tunayoishabikia ikitokea inaweza kusababisha mataifa mengi kuingia!
Umechambua vzr,na ndicho kinachotokea muda huu,Damascus kimenuka
 
Kombora moja sawa na bilioni 4 tsh,
very expensive na ni biashara nzuri sana kwa wazalishaji wa makombora iwapo vita itatokea,lazima share zipande bei.

Siri ya kuishinda air defence yeyote ile ni kui overwelm kwa makombora,sasa kipindi wanafanya reloading ndo mda wa makombora kupenya,
so ikatokea kweli marekani wakaizidi S-400,
russia atabaki na solution moja tu kuzamisha destroyer inayofyatua makombora,
ama kuzamisha aircraft carrier yenye ndege karibu 70 na askari 6500,
na hiyo ndo sababu aircraft carrier USS Harry Truman haiendi syria bali inaelekea persian gulf kama rotation ya kawaida-kwani huwezi kutumia aircraft carrier katika vita na mataifa makubwa yenye uwezo wa kuizamisha,ni hasara kubwa ambayo marekani haiko tayari kuivumilia,
na endapo mfano imezamishwa,kinachofuata ni nuclear exchange
mkuu GT elungata thank you very much for the analysis.

Tumuombeeni Assad maisha marefu na amani
 
Back
Top Bottom