Tom Saintfiet threaten to leave Yanga!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Saintfiet has accused the Yanga administration of not meeting part of their bargain that involved paying him salary,arranging for friendlies and providing him a car according to his contract agreement.
Sorce:supersport.com.
 
Yani miezi 2 tuu anaanza kusumbua?
Kama vp achape mwendo tuu maana yanga huwa hatuna desturi ya kuwapigia magoti makocha.
 
Hawa supersport sport wanatengeza upotoshaji ili wauze mtandaoni!mbona mie nipo na Tom kila siku na kila nikimuangalia usoni sioni kama anaweza kutoa taarifa za ndani kama hizi?
 
Na hiyo taarifa superspot wameshaifuta!

Najiuliza kama ni halali kwa nini wameiondoa?

Nani aliyeiweka, ?

Napatwa na wasi wasi ni story ya kubumba!
 
Hizo habari ndo kama zilee......"Wiki 1 tu baada ya Mt Tom kuipa Yanga kombe la Kagame,aomba kibarua Kenya" kama ilivyo'appear kwenye kale ka'blog ketu.......wakati maskini kule aliomba kabla hata hajaomba Yanga.
 
inaonyesha wamepokea chochote kutoka upande wa pili ili waanze kutuvuruga tena!
 
Yani miezi 2 tuu anaanza kusumbua?
Kama vp achape mwendo tuu maana yanga huwa hatuna desturi ya kuwapigia magoti makocha.
Sii makocha tuu,ata wachezaji,lakini kwa hili inabidi tumpigie magoti maana jamaa ni jembe kweli kweli!
 
Si wakati anafika walikuja na kashfa kua ni fundi mitalo,. Sasa wameona kazi ya mtakatifu wananza leta propaganda zao. Hi yanga xio ya kawaida chezea ile ya papic na ncunga,. Kwa hi fitina zenu zitakua zinakuja na kuwarudia simmekiona kitoto chenu azam kipo taaban saiz,.
 
Back
Top Bottom