based on the ''bible''. oh yes watu wa kitabu hawa. hapa ndipo konsituhsheni iliposukwa na sir god mwenyewe.
huyu obama hussein a new president with a ''strange name'' anaiuza america hasa pale aliposema mbele ya waturuki (wanaojinasibu kuwa wazungu waislamu) kwamba america sio nchi ya wakristo.
je obama amewahi kuwauliza waturuki kama na wao wameshawahi kujitangaza wao sio nchi ya waislamu?
obama ni mnafiki