Tom boy ndani ya ghetto langu!

Veronica?
Ni mrefu hivi,mweupe ana asili ya Tanga.
Namba yake ni 0745......63.Kama ndiye huyu I know her, na siku ukimtajia jina langu atastuka....Mimi tulikutana 2019 mwezi wa 11.
Kiufupi sifa hizo zinatosha kusema ndiye.

Sio mwandishi sana ila ningetoa stori yangu na yake.
 
Mh! Hebu simulia kidogo
 
Hata uwe tomboy vipi kwangu wewe mtoto wa kike tu usiniletee uselamavi


Kuna tenant wetu mmoja ni tomboy anakula fegi hatari
 
Basi,ingekuwa huyo ningekwambia si peke yako hata mimi nina stori nae.
NIimjuae mimi alikuwa Tom Boy haswa
Ananyoa pank,mrefu kimtindo na mweume mwenye sura ya Kimburu.
Tulikutana mwishoni mwa mwaka juzi,kipindi hicho hicho akiwa kwenye majonzi ya kumpoteza mama yake.....
Mara ya mwisho kuwasiliana nae ilikuwa mwaka jana katikati hivi.Akiniomba nauli atoke Bagamoyo aje ghetto Dar,sikumpa tukazinguana.
Sasa hivi sijui aliko nimebaki na namba tu.
 
Duh! Kwanini umemzira..?
 
Kwaiyo. Jaribu na bibi kizee
 
Hao huwa ni watamu kichizi.. kwasababu huwa wanaogopwa Sana na wanaume ambao hawajielewi

Niliwahi mpata mmoja nilipiga mpaka akasema nimuoe
...

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…