Tokyo Sky Tree - Japan

Majengo kama haya sipandi.

Mwisho wangu huwa ni ghorofa ya tatu tu. Sijaelewa ni kwanini lakini hata iweje miguu haikubali kuendelea.
 
Hapo ni mwendo wa lift mkuu!

Yap. Najua ni lift, ila kwangu ghorofa ya tatu mwisho. Nilishajaribu, ilikuwa ghorofa 15 tu na tulikuwa na semina on top kule. Aisee, Kichwa kilikuwa kama kinataka kuanguka halafu nikitembea ni kama mtu aliyevaa miwani meusi/ya giza kwa mara ya kwanza au usiku- unakuwa unaruka ruka hivi.
 
Mkuu , you have acrophobia. Fear of heights. Watu wengi wanaogopa kupanda ngazi kwenda juu sana au lift.

Utapata tabu ukija Japan. Ghorofa ni nyingi kutokana na uhaba wa ardhi. Pia, mtetemeko wa ardhi ni karibu kila siku.
 
Majengo kama haya sipandi.

Mwisho wangu huwa ni ghorofa ya tatu tu. Sijaelewa ni kwanini lakini hata iweje miguu haikubali kuendelea.

Yaani mi mwenyewe ghorofa zinanitesa sana, hata nikitumia lift kichwa kinauna sana!
 
Reactions: rr3
Mkuu , you have acrophobia. Fear of heights. Watu wengi wanaogopa kupanda ngazi kwenda juu sana au lift.

Utapata tabu ukija Japan. Ghorofa ni nyingi kutokana na uhaba wa ardhi. Pia, mtetemeko wa ardhi ni karibu kila siku.

Nina ugonjwa huo pia...
Naweza kuanguka kwa kizunguzungu...
 
Du! Kwangu ni shida sana, nilishwa kupanga gorofa ya Mcel Tower pale Maputo, Msumbiji lina ghorofa karibia 40, kufika ya 17, nikawaambia mtanikuta chini.
 
Mkuu rr3. Hapa nadhani utaweza.

Tianmen Mountain. China.

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…