Toka mtandaoni: Wapungie mkono!

Aisee!!
Andiko hili ni kama Tundu Lissu analitumia kwa asilimia 100 kila siku, sura yake imejaa tabasamu, mikono yake muda wote anaipunga hewani, ezi ifu hajawahi kukumbwa na umauti.
Mimi ni nani nijaze hasira kifuani pangu na kukunja ngumi kwa kiburi?

Kuanzia sasa nitapunga [emoji119][emoji119][emoji120] hewani.

Ubarikiwe sana [emoji120]
 



So unampinga mtumishi wa Mungu.
 
Haah,eti ''mtumishi'', ebo, humjui huyo Mshana tu, tafuta nyuzi zake humu za uchawi,wee utakoma.
Amejulikana mpaka kwenye nyuzi za kikenya kama tabibu asilia mkuu.
Mmh ila huyo mdau ananifahamu vilivyo[emoji848][emoji2827]
 
BAK nakuelewa sana ila wapungie tu mkono
 
Kuanzia sasa nitapunga [emoji119][emoji119][emoji120] hewani. [emoji1536][emoji1536][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548]
 
Mtani wangu ukiachana na mambo ya tunguli, wewe ni mwalimu mzuri sana wa neno la Mungu.
 
Kwa neno lake hilo la hekima,his malevolent,wizard ,sir mshana jr,the great one,kwa heshima na taadhima na kwa unyenyekevu mkubwa ninamuomba ikimpendeza aniruhusu niutumie uzi wake kuwapungia mkono CCM.
Usijaribu jiwe ata kufokea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…