Toka mtandaoni : 6 years since Muammar Gadaffi was killed

Kwanini mtu mmoja ang'ang'anie madaraka as if wewe ni Jiwe ukaishi milele ?!. Tujiwekee utaratibu wa kuongozana vizuri toka mtu hadi mwingine na toka chama kimoja hadi kingine . Ndipo hapo mazuri yatakapokuwa endelevu . Nasi hii ya matendo mema kuondoka na kiongozi mhusika.

Mfano kwanini Tz tusijiwekee utaratibu mzuri Leo ?!. Badala ya kusubiri machafuko au vita !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika Ndo tuna kwama hapoo demokrasia demokrasia Nani kasema demokrasia ni kubadilisha vyama au watu!!
Kama uchumi unaenda vizuri na Mambo yakijamii yamekaa sawa kubadilisha viongozi ili iweje
Unasema walikosa Uhuru haya sasa gadafi kakndokaa Uhuru ndoo huu Sasa
Alaf mfano China wamepitisha raisi wa maishi xin jing ping angalia na uchumi wao
Achana na demokrasia wanaosema wazungu sijui kubadilisha viongozi ,wenyewa kama nchi wanamda mrefu kupractise hizi Mambo wanabadilisha vyama ila Kuna michezo washacheza kwa hiyo sio busara kuiga Kila kitu Cha mzungu au kufuata wanachosema
By the way watu hawaishi kwa Kula demokrasia au hawalipi demokrasia kupeleka watoto shule#maanayademokrasiainabidiiangaliweupya
 
Mkuu binadamu kaumbwa kuwa huru....iwapo Mwenyezi Mungu katupa uhuru wa kumwabudi yeye au laa hivyo Basi hakuna binadamu atakaye mnyima mtu uhuru akabakia salama?!!....Gadafi alifanya mengi mazuri kosa ni kuwanyima uhuru watu wake.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru gani aliwanyima
Kama umewahi kukutana na walibya zaidi ya mmoja au umewahi kwenda Tripoli au tarabulus kama wanavyoita sawa ntakusoma
Zamani huwezi kukuta Mlibya anaondoka Libya na kwenda kutafuta kazi nchi nyingine unajua kwanini?
Kwa sababu neema zote zilikuwa kwao na mataifa mengi ya jirani yalikuwa yanaenda kutafuta ajira kwao.
Nina uhakika na haya na ninapajua
Uhuru ulikuwepo
Ila sasa ndio uhuru hamna na haitakuwa sawa tena na wazungu waibe sasa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Sisi huwa tunasubiri vita ili baadae tupate nafasi ya kumlaumu mzungu.
Brunei wameweka sheria ya mashoga kuuwawa
George Clooney na Elton John ni waarabu?
Mpaka wakaandamane na kusema wa boycott hotels za Sultan Hassan kama Doncaster?
Nasubiri jibu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Jr huyo mtu alikuwa great man. Lakini hili neno analolikataa Ndugai "dhaifu" ina kila moja . Gaddafi alitakiwa kujua ya kuwa anawaongoza wanaadamu wenye utashi mbali mbali. Alitakiwa aweke utaratibu mzuri wa kurithishana madaraka . Toka kiongozi moja hadi mwingine na toka chama kimoja hadi kingine.

Tatizo la Africa ni viongozi walioko madarakani kujiona mamiunguwatu watu wasiotaka mawazo mbadala au uongozi mbadala . Na kwa hili hata kwetu hatuko vizuri . Africa viongozi wetu wajifunze kuwaheshimu wanaowaongoza. Huwezi kukaa madarakani miaka 42 halafu ukataka mwanao aendelee baada kuondoka kwako.

Watachoka hata kama unawapa asali kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna hoja! Mbona yule queen pale UK kila mtu kafyata mkia wake kautia matakoni???
 
...................Povu& illogical!!!

Mzee hizo pombe unazokunywa hapo zimekutosha katafute kitanda kilipo ulale kesho kazini aliefunga shule ni mwanao siyo wewe uliyefunga kazi.

Sitakujibu kwa njia unayotaka ila elewa hapa siyo sitting room yako kwamba unanipangia nini cha kuandika nini nisiandike ukitaka hivi msubiri siku shemejiyo aje kutoka kijijini kwao umpangie cha kuzungumza kwamba aseme ndiyo shemeji ndiyo shemeji hata ukizungumza pumba au usi-post chochote humu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Fvck yah once again
 
Uhuru gani aliwanyima
Kama umewahi kukutana na walibya zaidi ya mmoja au umewahi kwenda Tripoli au tarabulus kama wanavyoita sawa ntakusoma
Zamani huwezi kukuta Mlibya anaondoka Libya na kwenda kutafuta kazi nchi nyingine unajua kwanini?
Kwa sababu neema zote zilikuwa kwao na mataifa mengi ya jirani yalikuwa yanaenda kutafuta ajira kwao.
Nina uhakika na haya na ninapajua
Uhuru ulikuwepo
Ila sasa ndio uhuru hamna na haitakuwa sawa tena na wazungu waibe sasa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mkuu kwenye posting yangu nlishamaliza. Kosa la Gaddafi lilikuwa ni kusema Allah ndio mola wake. Yaliyobaki tena wanaadam watajijua wenyewe. Na kwa mujibu wa imani yake ametangulia akiwa shujaa
 
Labda tu unajifurahisha. Hivi UK Queen anaongoza serikali ?! Serikali inaongozwa na PM na hata sasa anayehangaika na breaksit ni PM wala si Queen . Na chaguzi zao ni very democratic. Siyo hii ya wakurugenzi wanaambiwa atakayemtangaza mpinzani hana kazi !!!
Huna hoja! Mbona yule queen pale UK kila mtu kafyata mkia wake kautia matakoni???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom