Toka mtandaoni : 6 years since Muammar Gadaffi was killed

Kosa lake lilikuwa ni kusema "Allah ndio mola wake"
Loh!chief akili yangu inakataa kwamba hiko kichwa chako unakitumia kwa lengo la kufikiri mambo kwa usahihi.

By the way kama hilo ndo lilikuwa kosa lake basi waliomuuwa watakuwa walimfanyia jambo la maana sana kumuwahisha kumuona Allah,mimi naamini zilikuwa sababu za kisiasa haiwezi kuwa sababu dhaifu kama unavyotaka kutuaminisha.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Yaani katika watu wasini-quote kabisa ni wewe u.m.bwa wewe. Achana na mimi na unipigie mbali ukiniona. Fvkc yah
 
Kwa hiyo sasa ni raha wamepata uhuru au sio?? Shit h.ole
Kwanini mtu mmoja ang'ang'anie madaraka as if wewe ni Jiwe ukaishi milele ?!. Tujiwekee utaratibu wa kuongozana vizuri toka mtu hadi mwingine na toka chama kimoja hadi kingine . Ndipo hapo mazuri yatakapokuwa endelevu . Nasi hii ya matendo mema kuondoka na kiongozi mhusika.

Mfano kwanini Tz tusijiwekee utaratibu mzuri Leo ?!. Badala ya kusubiri machafuko au vita !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la one man show ndio hilo. Kama angelikuwa na washirika wa maendeleo, hata angekufa mara 100 bado legacy ingeendelea. Kafa mara moja tu na maendeleo yake kusahauliwa. Ni nini faida?? Huwezi kuwanunulia wa midege, reli na kuwajem=ngea mabwawa makubwa kwa nguvu zako weye tu bila ushauri useme umeleta maendeleo.
Wape watu uhuru wa kukukosoa na kukuchamba huku weye ukifanya mambo mazuri tu kimya kimya. Actions speak louder than words. Ni kaushauri tu kwa wanaotaka kuleta maendeleo bila kuwashirikisha wanamaendeleo.
 
Back
Top Bottom