ngoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano

jk anatanguliza uswahiba na chama mbele ya maendeleo,namjua mulongo tokea akiwa dc bagamoyo,ni mzinzi na mpenda rushwa hatari.Kupitia taarifa za hapa na pale, nadhani ni kweli huyu Bwana Iddy ni mtendaji mzuri lakini hata hivyo, haitakuwa na maana yoyote kwake kupelekwa Arusha bila kufanya mabadiliko mengine ya uongozi hapo mkoani. The so called Magessa Mulongo nae anapaswa kutolewa pale na kupelekwa mtu mwingine mwenye uwezo wa kukabiliana na changamoto za Arusha bila kusahau kwamba siasa za kijinga za CCM na CHADEMA bado ndio tatizo la msingi la Arusha.
Na Hii Ndio Akili ???
BWANA JUMA IDD,aliyepata kuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya jiji la mbeya amechukua nafasi ya BI.SIPORA LIANA aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya jiji la arusha ambaye sasa hivi amehamishiwa OWM-TAMISEMI.
BI SIPORA ametolewa arusha kutokana na majungu ya mkuu wa mkoa BWANA MUGESA MULONGO pamoja na zengwe la madiwani wachache wasiopenda uwajibikaji wakiongozwa na meya wa halmashauri ya jiji.
Naomba niwahakikishie viongozi hao mafisadi na wenye kujali maslahi yao kuwa bwana IDD ni mtendaji mzuri sana na mambo hayatakuwa rahisi kama wanauyodhani.
huyu bwana alipigwa sana majungu pale mbeya chini ya shinikizo la meya wa jiji bwana ATHANAS KAPUNGA(diwani kata ya isanga C.C.M) lakini hakuweza kutii kile walichokitaka na hatimaye kupika majungu na kupelekea uhamisho wake kwenda OWM-TAMISEMI.
bwana IDD alijitahidi kufanya kazi zake kwa kuzingatia miongozo akishirikiana na viongozi wapenda maendeleo na hatimaye kuifanya
mbeya angalau ipate mwonekano ilionao sasa.
NENDA KAFANYE KAZI IDD.
Mkuu ni ya kweli hayo unayo yasema kuwa NA heshima sio kisa hakuna anaye kufuatilia basi NA ww ndo utukane watu kwa kadri uwezavyongoja akutane na akina lema wanakaa wamelewa mda wote atajua arusha ni nn. Pale kuna bavicha zero brain kabisa kila mda wanawaza vurugu na maandamano
Rudi dampo. CHADEMA hakuna takataka kama Mulongo.CHADEMA hovy sana, hasa huyu mwanachadema mwenzao aitwae Mugesa Mulongo, huyu ndiyo sifuri na ndiyo amesababisha Sipora kuondolewa.