Do you know nimemaanisha nn?Sjui.
Kufunga ndoa kwa sisi wanaume ni sawa na paka kufungwa kengele , unaijua story ya nani atamfunga paka kengele?Kwani kuoa ni anasa?
Pimeni afya, hongera na kila la Kheri!Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini Toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona Yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa Toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi Kila siku na Leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Hongera, kila laheri....Ndo YEYE.
Yule ni mume wake😂 huyu mchumbaNdio yule anakusemesha kigumu gumu??
Mwanamke anayeomba omba hela huwa simpendi.Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.