Toilet paper nyingine bwana.

Ukizitumia unapata pesa sehemu nyeti.
 
Ukizitumia ndio unapata nini sasa, ama hizo sura zinzvutia biashara. Duh!!!!!!!!!!!!!!
 
Hiyo ya Sudoku iko poa, wakati unakata gogo huku unacheza sudoku mpaka unashusha mzigo!
 
kwakweli... huwa watu wanafikiria nini hasa...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…