Tohara kwa watoto!

Straight corner

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
379
Points
195

Straight corner

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
379 195
Wana JF poleni na majukum!
1. Naomba kufahamishwa ni umri gani mzuri kwa mtoto kufanyiwa tohara?
2. Ni hospitali gani kuna dactari mzuri kwa kutoa huduma hii ((Niko D'salaam))?
3. Inaweza kugharimu kiasi gani.

Natanguliza shukurani zangu wakuu kwani katika sehemu sitaki kukosea ni hapa, naamini wengi mnafahamu unyeti wa suala hili.
 

Forum statistics

Threads 1,353,420
Members 518,338
Posts 33,076,905
Top