Togo football team's bus fired on
A bus carrying Togo's national football team to the Africa Cup of Nations has been hit by machine-gun fire, injuring two players, reports say.
The reported incident occurred as the bus was en route to Angola from the Democratic Republic of Congo.
The Africa Cup of Nations is due to start in Angola on Sunday.
Togo's first game is to be played on Monday in the oil-rich northern territory of Cabinda, where rebels have been fighting for independence.
The identities of the wounded players are not known. There are unconfirmed reports of serious injuries.
The Togolese team includes Manchester City striker Emmanuel Adebayor.
source; http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/8449319.stm
Hawa sasa nao pia wamejitakia.
Yaani usafiri wa basi kutoka Togo mpaka Angola through Congo.
Sehemu zote hizo are not safe.
They need to fire the person who organised the trip.
Poleni waliojeruhiwa.
Mmmmh hiyo safari mbona ni ndefu mno?kama kweli walitoka Togo kwa Bus ina maana ilibidi wapite Nchi Tano (Benin,Nigeria,Cameroon,Gabon na Congo) na ukizintia barabara za huko..kwa kweli aliyeandaa hiyo safari hana sababu ya kutochukuliwa hatua...hata kama ni suala la ukwasi lakini hiyo ni kali zaidi!
Hawa sasa nao pia wamejitakia.
Yaani usafiri wa basi kutoka Togo mpaka Angola through Congo.
Sehemu zote hizo are not safe.
They need to fire the person who organised the trip.
Poleni waliojeruhiwa.
Is true but risk, and is what exactly happened.Waliweka camp Congo Brazzaville. Walikuwa wanasafiri kutoka Brazzaville (Congo) kupitia Congo (ya Kabila) kuelekea Kabinda (si mbali sana)
wapelekwe muhimbili hosp ama mwananyamala hosp ama amana hospDah tff waleteni tafadhali bongo
Du, safari ya Umajumui wa Afrika (Pan-Africanism) inazidi kuwa ngumu!
Inavyoelekea ni kwamba hao jamaa tayari walikuwa ndani ya Angola (nafikiri walikwenda kwa ndege mpaka Luanda) kwani hata dereva wao aliyeuawa ni raia wa Angola. Sasa kutoka Luanda kwenda Cabinda ndio wakatumia basi (walilopewa hapohapo Luanda?!) wakipitia Congo (DRC), ukiangalia ramani ilivyo haiwezekani kufika Cabinda kwa barabara bila kupitia Congo maana Congo imetenganisha the mainland of Angola from Cabinda, in fact ingekuwa more logical kama Cabinda ingekuwa sehemu ya Congo kuliko Angola!Hawa sasa nao pia wamejitakia.
Yaani usafiri wa basi kutoka Togo mpaka Angola through Congo.
Sehemu zote hizo are not safe.
They need to fire the person who organised the trip.
Poleni waliojeruhiwa.
Hawa sasa nao pia wamejitakia.
Yaani usafiri wa basi kutoka Togo mpaka Angola through Congo.
Sehemu zote hizo are not safe.
They need to fire the person who organised the trip.
Poleni waliojeruhiwa.
Ndio hali halisi ya Afrika...bado tupo zama za mawe.
Du, safari ya Umajumui wa Afrika (Pan-Africanism) inazidi kuwa ngumu!
...sijui kwanini, lakini wanasema Adebayor yu salama, Dereva wa hilo coach marhum sasa!