Togo National Team Shot in Ambush, what's their fate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Togo National Team Shot in Ambush, what's their fate?

Discussion in 'Sports' started by Mbu, Jan 8, 2010.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Togo football team's bus fired on


  [​IMG]

  A bus carrying Togo's national football team to the Africa Cup of Nations has been hit by machine-gun fire, injuring two players, reports say.

  The reported incident occurred as the bus was en route to Angola from the Democratic Republic of Congo.

  The Africa Cup of Nations is due to start in Angola on Sunday.
  Togo's first game is to be played on Monday in the oil-rich northern territory of Cabinda, where rebels have been fighting for independence.

  The identities of the wounded players are not known. There are unconfirmed reports of serious injuries.

  The Togolese team includes Manchester City striker Emmanuel Adebayor.

  source; http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/8449319.stm
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  Timu ilivamiwa kwa dakika 20.why they choosd to go there? in congo?
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Dah tff waleteni tafadhali bongo
   
 4. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hawa sasa nao pia wamejitakia.

  Yaani usafiri wa basi kutoka Togo mpaka Angola through Congo.
  Sehemu zote hizo are not safe.

  They need to fire the person who organised the trip.

  Poleni waliojeruhiwa.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ndio hali halisi ya Afrika...bado tupo zama za mawe.
   
 6. P

  PELE JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 229
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Oh My God!
   
 7. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mmmmh hiyo safari mbona ni ndefu mno?kama kweli walitoka Togo kwa Bus ina maana ilibidi wapite Nchi Tano (Benin,Nigeria,Cameroon,Gabon na Congo) na ukizintia barabara za huko..kwa kweli aliyeandaa hiyo safari hana sababu ya kutochukuliwa hatua...hata kama ni suala la ukwasi lakini hiyo ni kali zaidi!
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mwawado,

  nd'o hapo mkuu. Mwenyewe nashangaa hio safari ni ya umbali gani jamani.
  Inanikumbusha jamaa wanaozamia Sauzi kwa mabasi.

  Afu hawa ni ma-Pro players na kupata tikiti ya ndege ni kama kawa.
  Sasa angalia ujinga wa mtu serikaini ulivyosababisha maisha ya watu
  yawe taabani.

  Bahati yao hawakutekwa nyara kisha tuanze kusikia yale ya Somali ya
  kutoa ransom.
   
 9. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Waliweka camp Congo Brazzaville. Walikuwa wanasafiri kutoka Brazzaville (Congo) kupitia Congo (ya Kabila) kuelekea Kabinda (si mbali sana)
   
 10. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Is true but risk, and is what exactly happened.
   
 11. Companero

  Companero Platinum Member

  #11
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Du, safari ya Umajumui wa Afrika (Pan-Africanism) inazidi kuwa ngumu!
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  wapelekwe muhimbili hosp ama mwananyamala hosp ama amana hosp
  wajulisheni kwanza mnapotaka kuwapeleka;
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...sijui kwanini, lakini wanasema Adebayor yu salama, Dereva wa hilo coach marhum sasa!
   
 14. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Huwa nina ndoto za kufanya trip africa nzima kuanzia kusini hadi juu kule, na mashariki hadi magharibi kwa barabara, I guess itabidi nisubiri (naomba msinishambulie kama lady jaydee!).
   
 15. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inavyoelekea ni kwamba hao jamaa tayari walikuwa ndani ya Angola (nafikiri walikwenda kwa ndege mpaka Luanda) kwani hata dereva wao aliyeuawa ni raia wa Angola. Sasa kutoka Luanda kwenda Cabinda ndio wakatumia basi (walilopewa hapohapo Luanda?!) wakipitia Congo (DRC), ukiangalia ramani ilivyo haiwezekani kufika Cabinda kwa barabara bila kupitia Congo maana Congo imetenganisha the mainland of Angola from Cabinda, in fact ingekuwa more logical kama Cabinda ingekuwa sehemu ya Congo kuliko Angola!
   
 16. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2010
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  iNASIKITISHA SANA HII...aNGOLA WAJIPANGE MASHINDANO YAMEANZA KUWA NA DOSARI.
   
 17. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Wachezaji walikuwa wanatoka Congo ambako wamepiga kambi ya Mazoezi.

  Angola wamekuwa kwenye vita kwa miaka mingi sana hili ni tatizo la CAF ambao walihongwa na serikali ya Angola kupeleka mashindano nchini kwao. Haiingii akilini hata leo ni wangapi wako radhi kwenda kuishi Angola let alone kwenda kutembea.

  Hakuna kitu kama hicho. Hatuhitaji Muungano wowote ule tupo tofauti sana na wala haitawezekana kuwa wamoja.

  Waliyoleta hiyo story ni waingereza wao wanawapalilia wachezaji wanaowaingizia kula kwenye premier League. Hivi ulikuwa kujawagundua hawa wanafiki? Waulize ankal wao Kenya.
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Damn, foreign media wanaishikia bango hili mpaka FIFA World Cup 2010 South Afrika iingie dosari!
   
 19. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Angalieni Cabinda ilipo.FLEC separatists wanataka kutoka katika Angola.
  Hii njia ya kushambulia wa Togo ni stupidity.wangetaka wangefanya kwa waangola
  sio kwa wageni.
   
 20. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nchi ya Angola ni tajiri wa mafuta,almasi,mbao etc.rais wao ni dictator Dos santos ambae yuko madarakani miaka 30 sasa.Ni tajiri yeye na family yake,especially binti yake isabel.

  Cabinda inatoa asilimia 60 ya mafuta ya angola,lakini wananchi wake ni really very poor ambao wako kama laki mbili na nusu!
  ndio maana tangu indepence 1975 ,wanataka independence toka angola,though waangola wameishikiria kimabavu.
   
Loading...