Tofuti kati ya ukweli na uaminifu

Tofuti kati ya ukweli na uaminifu

Mildotty

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
278
Reaction score
198
Habarini wanajukwaa, Nina swali kwenu, nnaamini kupitia mawazo ya wengi nitapata ufahamu mzuri juu ya hili swali kwamba kunatofauti gani hasa kati mtu kuwa mkweli na kuwa muaminifu?

Nawasilisha
 
Ukweli ni zaidi ya uaminifu maana kuwa mkweli ni kuzungumza na kutenda yale yanayopaswa bali kua muaminifu nikutenda kwakuhakikisha hutoki nje ya makubaliano.

Kwamaana nyingine nikwamba mnaweza mkakubaliana kutotenda haki na atakaye to a siri ya makubaliano hayo sio muaminifu

Ndio maana watu hali viapo vya ukweli bali wanakula vya uaminifu kwamaana ya makubaliano
 
Ooh thanks mkuu nmepata kitu hapo
 
Ukweli ni kusema kwa usahihi kile kilichotendeka! Na uaminifu ni kitendo cha kuwa muungwana na kutokuwa mswahili!
Kiufupi uaminifu ni zaidi ya ukweli wenyewe kwa sababu ukweli huusemea sana uaminifu ingawa uaminifu nao unayo tabia ya kuujenga ukweli.
Kwa hiyo uaminifu na ukweli ni kama sarafu yenye pande kuu mbili zinazotegemeana.
 
Hapo mkuu umenichanganya, kusema uaminifu ni zaidi ya ukweli, Je nikiwa mwaminifu kutunza baya la mtu alilofanya kwa mtu flani labda? Inakuaje hapo
 
Huo ni uaminifu katika namna nyingine isio sahihi! Ni sawa na kutumia neno " athari" athari inaweza kuwa hasi au chanya, kwa hiyo uaminifu nao hivyo hivyo unaweza kuwa hasi au chanya lakini inategemea unakuwa mwaminifu kwa nani?
Kuhusu ukweli, ukweli ni kitu ambacho kinakubalika kwa wengi hata kama sio sahihi, na ndio maana kuna utofauti kati ya ukweli na uhalisia.
 
Tuanze kwanza ukweli ni Nini na uaminifu ni Nini
 
Huo ni uaminifu katika namna nyingine isio sahihi! Ni sawa na kutumia neno " athari" athari inaweza kuwa hasi au chanya, kwa hiyo uaminifu nao hivyo hivyo unaweza kuwa hasi au chanya lakini inategemea unakuwa mwaminifu kwa nani?
Kuhusu ukweli, ukweli ni kitu ambacho kinakubalika kwa wengi hata kama sio sahihi, na ndio maana kuna utofauti kati ya ukweli na uhalisia.
asante, nmepata kitu hapo
 
ndo na Mimi napopataka apoo
Katika context ya kuelezea jambo
Ukweli ni ile Hali (situation) ya kueleza kile anachokijua/alicho sikia kuhusu jambo fulani

Kwa maana hiyo ukweli sio universal ukweli wa kwako kuhusu magufuli sio lazima ukawa sawa na ukweli wa kwangu kuhusu huyo magufuli
Mengine wataongeza wengine
 
Back
Top Bottom