Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Kabisa.Upendo bana wacha uitwe upendo
Sawa
Na iwe hivyo.Amen
TAMAA
UPENDO
Tamaa huwa haidumu kamwe. Tamaa hupigwa na kukimbia. Tamaa ni matumizi ya muda kisha unatupa. Tamaa huchochewa na ubinafsi. Tamaa huwa haina subira.
Sasa basi...
- Upendo unajituma.
- Upendo huchukua jukumu.
- Upendo ni sadaka.
- Upendo hauna ubinafsi.
- Upendo ni kusamehe.
- Upendo hauna majivuno
- Upendo hauhesabu mabaya
- Upendo huvumilia yote.
Ikiwa mnakutana tu chumbani - hamjuani nje ya chumba cha kulala - na hamshirikiani na wengine kama wanandoa wa dating, yako hiyo ni tamaa.
Watu wanaopendana wanajali maadili, imani na malengo ya kazi ya wenzi wao.
Palipo na tamaa, maslahi ya mtu ni kuvutia tu kimwili na uasherati.
Upendo hujenga kwa muda na una kina na upana wake. Upendo ni hisia ya kudumu ambayo inakufanya ufikirie siku zijazo zitakavyokuwa ukiwa pamoja na umpendaye.
Tamaa inatafuta kuuridhisha mwili kwa muda. Tamaa inatafuta tamaa ya ngono ya papo hapo.
Watu wanaopendana huonyesha kasoro na udhaifu wao.
Watu wanaotamaniana huficha makosa na kasoro zao. Wanafunua tu nguvu zao - ndiyo sababu watu wengi huanguka kwa tamaa.
Ubarikiwe.
Mwanamke anampenda mwanamme anayeweza kumhudumia na pia ameridhika na muonekano wa huyo mwanamme , kamwe mwanaume hampend mwanamke kwa Tabia hyo haipo
Hivyo alivyompendea vikiisha ataendelea kumpenda bila shaka na huo ndio upendo unaovumilia yote.Mwanamke anampenda mwanamme anayeweza kumhudumia na pia ameridhika na muonekano wa huyo mwanamme
Akijibu nitag plz.
Wanaume wenye tamaa huficha kasoro zao hivyo humdanganya kiurahisi mwanamke aliye na nia ya kupata mwenza ktk maisha yako.Wanawake wengi huwa wanashindwaje kutofautisha katika ya UPENDO ( Love) na TAMAA( Infatuation) especially pale wanapotongozwa na wanaume.
Siku hizi ni tamaa mbele, hiki ndio kipaumbele kwa me na ke wa leo.Sema upendo wenyewe ckuiz unapungua kwa Kasi sana,
Na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi
Kugundua udanganyifu na upendo hapo ndipo shida ilipo.Na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
Ni vyema kukataa udanganyifu
Kama huna hela haya yoote ni kazi bure.TAMAA
UPENDO
Tamaa huwa haidumu kamwe. Tamaa hupigwa na kukimbia. Tamaa ni matumizi ya muda kisha unatupa. Tamaa huchochewa na ubinafsi. Tamaa huwa haina subira.
Sasa basi...
- Upendo unajituma.
- Upendo huchukua jukumu.
- Upendo ni sadaka.
- Upendo hauna ubinafsi.
- Upendo ni kusamehe.
- Upendo hauna majivuno
- Upendo hauhesabu mabaya
- Upendo huvumilia yote.
Ikiwa mnakutana tu chumbani - hamjuani nje ya chumba cha kulala - na hamshirikiani na wengine kama wanandoa wa dating, yako hiyo ni tamaa.
Watu wanaopendana wanajali maadili, imani na malengo ya kazi ya wenzi wao.
Palipo na tamaa, maslahi ya mtu ni kuvutia tu kimwili na uasherati.
Upendo hujenga kwa muda na una kina na upana wake. Upendo ni hisia ya kudumu ambayo inakufanya ufikirie siku zijazo zitakavyokuwa ukiwa pamoja na umpendaye.
Tamaa inatafuta kuuridhisha mwili kwa muda. Tamaa inatafuta tamaa ya ngono ya papo hapo.
Watu wanaopendana huonyesha kasoro na udhaifu wao.
Watu wanaotamaniana huficha makosa na kasoro zao. Wanafunua tu nguvu zao - ndiyo sababu watu wengi huanguka kwa tamaa.
Ubarikiwe.
FactTAMAA