nipeukweli
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 656
- 348
ahsante!manake kidogo nianze kucheza karata
habari zenu wadau...
hivi ni athari zipi zilizopo wapenzi wanapokuwa na tofauti za kiuchumi/kifedha? tafakari mfano huu...
kuna kijana na binti wanapendana sana, yaani saaaana. kijana ni mtu aliyefanikiwa sana kifedha mapema, amesoma ana nyumba kadhaa, magari na mali zinginezo za kuhamishika na zisizohamishika. mbali na juhudi zake za kimaisha, kijana anatokea familia inayojiweza sana. Binti amemaliza chuo kama miaka miwili iliyopita na anafanya shughuli zake bila kutegemea network ya kijana. kipato cha binti ni cha kawaida (wastani wa laki 5 kwa mwezi) na anatokea familia ya kipato cha kati.
wawili hawa wanataka kufunga pingu za maisha ila wazazi wa kijana wanatia ngumu kwasababu binti hatoki katika familia yenye daraja lao la kifedha.
swali langu; kwani huo utofauti wa kifedha baina ya hao wawili au familia zao unaweza ukawa na athari zipi katika ndoa yao?
karibuni tujadili....
unapenda karata huogopi kuolewa? lol
wahusika wote ni none other than Chaggas. kijana, parents wake, binti na familia yake....wooote chaggas.hiyo ishu ni ngumu mno kulingana na culture
je wazazi ni makabila yaapi? wahindi au waarabu ni ngumu mno matajiri ku mix na masikini
na kama tayari wazazi wa mvulana wameshasema hawataki
huyo binti salama yaka wakakae mbali ikiwezekana wahame mji
ili kuepusha shari nyiingi zitakazokuja
kuna hatari pia ya kunyanyasika wazazi au ndugu wa binti pia
wahusika wote ni none other than Chaggas. kijana, parents wake, binti na familia yake....wooote chaggas.
familia ya binti pamoja na kwamba wana uwezo wa kati, hawana mpango wa kulia njaa kwa mtu yeyote (if u get what I mean)...ni jeuri in a way japo hawana pesa kubwa kama ya upande wa pili.
mhm hapo kusema kweli mie naona tatizo ni kwamba huyu jamaa itabidi audumie sana family ya demu pale panapo tokea tatizo. sasa mambo ya kubeba msalaba ambao sio wako ni noma. pili ukweli ni kwamba financially itafika sehemu mwana ataona kero maana wewe tuu.
ah mie mtoto wa kike babu!niogope kuolewa ili kiwe nini?raha ya karata kuoa na kuolewa!ila sijacheza mapiku siku nyingi ngoja leo ndiyo iwe turn on ya siku!
Ah hivi mpka sa hizi naweza kuwa na zombie kweli?nilidhani ni kina lara 1 tu.sio kucheza mapiku online naenda kulianzisha home leo,af najifungisha makusudi yani nafanya juu chini kufuga jike ili niolewe UPYA!nikitoka hapo ahhhh si haba lazima nipelekwe honeymoon ya kwenye neti!mapiku ipo online?
au ushapa zombie la kucheza nalo karata? lol
halafu likusindikize saloon? lol
mhm hapo kusema kweli mie naona tatizo ni kwamba huyu jamaa itabidi audumie sana family ya demu pale panapo tokea tatizo. sasa mambo ya kubeba msalaba ambao sio wako ni noma. pili ukweli ni kwamba financially itafika sehemu mwana ataona kero maana wewe tuu.
kwa jamii zetu za kibongo hata kama mwanaume ni maskini na ameoa familia tajiri
bado ataiudumia tu familia ya binti! Kukamuliwa kama kawa, kwa sana!
Ah hivi mpka sa hizi naweza kuwa na zombie kweli?nilidhani ni kina lara 1 tu.sio kucheza mapiku online naenda kulianzisha home leo,af najifungisha makusudi yani nafanya juu chini kufuga jike ili niolewe UPYA!nikitoka hapo ahhhh si haba lazima nipelekwe honeymoon ya kwenye neti!
:focus:uwezo wa kichumi kwenye ndoa unaweza kuathiri hiyo ndoa iwapo tu
-wanaotaka kuoana hawana msimamo wao kama wapenzi
-wanauvalue vipi uhusiano wao
-wanajitegemea kiasi gani kimaisha
vinginevyo waoane kwa kwenda mbele hao wazazi wa huyo mwanaume wakitaka mtoto wao aoe wenye uwezo basi wamtafutie jengo la benki alioe!
mhhh lol