Mimi nilikua na hiyo cross sports.. Inaturbo, piston 4, consumption ya mafuta ni jinsi wewe unavyoikamua, inaweza kula mpaka 1ltr/6km yaani ni mguu wako tu. Hiki chuma ni moto wa kuotea mbali.
Yeah, cross sports inayo, na XT kuna zenye nazo na ambazo hazina hiyo turbo,OK, Kwa Hiyo Cross Sports Subaru ina Turbo
Kwa hiyo, Subaru XT vipi?