Omba Radhi kwa hii dharua uliyoionyesha dhidi ya mtandao huu.JF ni sehemu ya propaganda za kisiasa, usiichukulie serious sana kwenye mambo ya msingi
Kumbuka hakuna mtu mwenye mafanikio, au mwenye akili timamu na malengo anaepatikana na kutukanana humu 24/7 kwasababu ya siasa
HahahahaMwanamke akipost post kuwa anatafuta kazi wachangiaji huja kwa wingi sana na kumuahidi ajira.. Ila mwanamme akipost kuwa anatafuta kazi wachangia huwa wachache sana na wengine humvunja moyo mtafutaji kabsa. Je tatzo huwa ni lipi ??
Mwanamke akipost post kuwa anatafuta kazi wachangiaji huja kwa wingi sana na kumuahidi ajira.. Ila mwanamme akipost kuwa anatafuta kazi wachangia huwa wachache sana na wengine humvunja moyo mtafutaji kabsa. Je tatzo huwa ni lipi ??
mmhila hapo pa jinsia ni kweli hata mm mwanamke akiomba kazi huwa nasoma utadhani ntampa ajira akat hata mimi sina kazi
Haha ndoukwel huo
exactly mkuuWanaume tunashobokea sana mamanzi ndiyo maana inakua hivyo