Nyerere alisema:
Ujinga==ugonjwa kwamba ugonjwa ukitibiwa unapona hivyo na mjinga akielimishwa ujinga wake humtoka NA..
Upumbavu== alisema ni kama kipaji hautoki (nadhani hili ndio tusi)
Ninavyojua mjinga ni mtu ambaye hajui jambo fulani lakini akielimishwa analijua, mpumbavu ni mtu anayejua juu ya jambo fulani lakini anafanya kinyume na anavyolijua au anajifanya hajui juu ya jambo hilo.
Nyerere alisema:
Ujinga==ugonjwa kwamba ugonjwa ukitibiwa unapona hivyo na mjinga akielimishwa ujinga wake humtoka NA..
Upumbavu== alisema ni kama kipaji hautoki (nadhani hili ndio tusi)