Mjomba una bifu na mhadhiri wako nini?Uyu jamaa kam nakusom iv ila sina uhakika san.ila kam ni ww ndio yule lecture wa MuCobs pale moshi mwalimu tena na unamichepuko lukuki na bhad unatok na university student wa age iyo uliyosem apo? Deem em kaa mbali maan uyo bidada hakupend maan alifum mitext yk na michepuko Yako!
Ila usimwaribulie future uyo student maan kuna watu wanaangalia ukiarib unaeza potezwa kweny ramin ya Tz..ni hayo tyu
Kwa muktadha huu mvulana wa miaka 24 haruhusiwi kuoa msichana wa miaka 18; kwa maneno mengine msichana wa miaka 18 lazima aolewe na mvulana wa miaka 23 au chini ya hiyo
kweri yaaan kwa umri wako hutapata tabu na huyo kigori mengi ushapitia tabia zao nyingi ushazisoma kila la heri mkuu chukua jiko fasterHiyo combination nzuri sana, yaani hapo ndio mnaendana katika utamaduni wa ndoa. Mwanaume unapokua mkubwa kumzidi mwanamke ni vizuri maana heshima,hekima,busara vitatawala ndoa. Ndoa zetu siku hizi zinakuwa timbwilitimbwili kutokana na kuwa za umri mmoja akili zinafanana.
Inafaa lakini ufahamu hili, ukifika 60 mke yeye 42 umri wako, huoni kwamba utashindwa kumtimizia? Nimeona mitihani hio wadada kuanza kuhangaika nje kutafuta vijana. 60 age inategemea utakavyo ji keep, wengine huzeeka haraka, kama udongo wako mzuri sawa.Habari,
Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Haina tofauti na ya wa 40 mkuuUlivyotest kuingiza uliona Vipi?
Utakuwa una matatizo ya kuelewa; sasa kama mwenye miaka 24 anatakiwa kuoa wa miaka 19 onward je ataoa wa miaka 18? mimi nimeuliza kama mvulana wa miaka 24 haruhusiwi kuoa msichana wa miaka 18 unanipa jibu anatakiwa kuoa kuanzia miaka 19 na kuendelea je utakuwa umeelewa swali? au huna jibu?Hesabu vipi mkuu? Umeambiwa si chini ya (atleast), kwa sheria ya Kaboom, kama una miaka 24 utaoa mwenye (24/2 + 7), ina maana ni 19 nakuendelea.
Kama una 23 utaoa 23/2+7 ambayo ni 18.5 na kuendelea, bila kusahau kwamba kama hesabu inaangukia chini ya 18 hakuna ndoa.
Utakuwa una matatizo ya kuelewa; sasa kama mwenye miaka 24 anatakiwa kuoa wa miaka 19 onward je ataoa wa miaka 18? mimi nimeuliza kama mvulana wa miaka 24 haruhusiwi kuoa msichana wa miaka 18 unanipa jibu anatakiwa kuoa kuanzia miaka 19 na kuendelea je utakuwa umeelewa swali? au huna jibu?
Habari,
Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?