Tofauti ya matamko ya viongozi wetu wa sasa na wale wa zamani

sanyaji

Senior Member
Oct 1, 2019
117
127
Niingie kwenye mada moja kwa moja, viongozi wa sasa wanapotoa matamko yao kwa sasa utawasikia.

"Kwa niaba ya Rais wangu mpendwa, anasema hivi na hivi, kwa niaba ya serikali hii ya awamu ya tano inayoongozwa na jemedari wetu au msaada huu mama ameuotoa kwetu, nk

Wale wa zamani walisema hivi,"kuanzia Sasa nikiwa waziri mkuu ninaagiza wahujumu uchumi wote taifisha Mali zao, hawawezi ichezea serikali yetu, au kwa niaba ya chama changu, nk.

Viongozi wa sasa munakwama wapi? Mbona mnajipendekeza sana? Njaa inawafanya mharibu utu wenu.
 
Siasa za siku hizi ni za kujipendekeza na kutafuta kiki zaidi
 
Back
Top Bottom