Hakuna mtu asiyependa pesa hivyo mwanamke mzuri na mrembo hawezi kukataa ofa za watu wenye fedha wanaomgombania kwa kuhofia eti atanyanyaswa. Isitoshe mwanamke mrembo siku zote anajiamini, anajua hata ukimuacha wewe atapata mwingine. Kwa mwanamke kujiamini hutokana na uzuri wake na kwa mwanaume pesa yake (ceteris paribus).
Hii sentensi yako ya mwisho ni kama unanisema Mimi vile!Mmh haya mambo hayana SI unit kabisa. Unaweza ukaolewa na maskini, mwanzoni atakupenda, atakujali, atakudekeza hadi uhisi dunia nzima wewe ndo unayependwa kumbe mmmh, kuna watu wana adabu kwa sababu hawana hela. Siku akizifuma sasa Hehehehe, "atahamia kwa wenye hadhi yake". Subiri akifulia ndo atakukumbuka na atarudi na kijuso chake.
Zamani nilidhani mtu ukitoka naye chini ndo atakuheshimu wee, but Sidhani kama hiyo ipo tena, kwa wachache sana. Hakuna uhusiano wa kuwa maskini na kuwa na upendo wa dhati, mwengine atajilazimisha tu kukupenda coz you are what he can afford for now (he has to settle for what is available), na kuna mwingine hela hana na adabu hana, atakudunda na atachepuka tu, huyu ndo komesha.
Hahaha huna hela na adabu pia huna? Ila usijali coz kuna mtu anakupenda tu hivyo hivyoHii sentensi yako ya mwisho ni kama unanisema Mimi vile!
wapo shogaake, nimefuliwa mpaka nguo mie..Eti atakusaidia Kuosha vyombo plsss...mwanaume yupi Africa anafanya hio kazi
Oh, my dear. Wapo wanaume Wa Hvo. Kaka angu humsaidia wifi ang hata hvo vyombo. So, c kitu kigeni.Eti atakusaidia Kuosha vyombo plsss...mwanaume yupi Africa anafanya hio kazi