Tofauti ya iphone 8 na 8 plus

Tofauti ya iphone 8 na 8 plus

hafidh

Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
62
Reaction score
47
Jee kuna tofauti gani kati ya iphone 8 na 8 plus.yaani kuna vitu ambavyo waweza pata kwa 8 plus na 8 ikawa havipatikani.na mwisho kimatumizi ipi ni nzuri kati ya 8 na 8 plus.nawasilisha
 
iPhone-X-iPhone-8-7-Plus-comparison-chart-Cnet.png
hizo hapo
 
Back
Top Bottom