Babu Ubwete
Senior Member
- Jan 26, 2008
- 169
- 31
hawa ni expatriets,Habari zenu wana JF. Katika Shughuli za kila siku nilipata kuchat na mzungu mmoja afanyaye kazi Barrick Gold, Na tuligusia mishahara wanayolipwa wageni na wazalendo na yeye moja ya sababu alizoto ni kwamba Hata kama wote wana Degree za Business Admin mfano kwao kuna wa canada, New zealand, Americans, South AFricans etc hawa wote degree zao si sawa kwa kigezo cha Course content na gharama walizolipia kwenda university, Ali justify na kusema ni lazima wageni walipwe mshahara juu based on quality of edu waliyoipata hivyo ni haki kabisa kwa mzalendo ama mbogo kulipwa kidogo. Je wana Jf mna maoni gani juu ya hili ni sahihi kweli ukizingatia mtanzania ndio anakuwa na cheo cha chini mzungu anakuwa senior na previlledges kibao ticket za kurudi kwao n stuffs
ungetupa picha nzuri kama ungetoa mfano kama kuna mmbongo na yeye amesoma nje katika chuo sawa na mmoja wa hao wataalam wa kutoka huko mshahara upoje? still atalipwa kama mzalendo japokuwa kasomea huko huko kwao tena kwa gharama binafsi
Japokuwa hata kwa hiyo hali ya awali bado sio sawa kwani mtu analipwa kutokana na nafasi yake katika kazi na masaa anayofanyakazi.
Vigezo vya kuanza kuangalia rangi na amesomea wapi ni usanii tu huu kwani kwanini umemwajili mtu na kumpa hiyo nafasi kama elimu yake ni chini?
watu wa daraja moja lazima walipwe mshahara sawa.
Habari zenu wana JF. Katika Shughuli za kila siku nilipata kuchat na mzungu mmoja afanyaye kazi Barrick Gold, Na tuligusia mishahara wanayolipwa wageni na wazalendo na yeye moja ya sababu alizoto ni kwamba Hata kama wote wana Degree za Business Admin mfano kwao kuna wa canada, New zealand, Americans, South AFricans etc hawa wote degree zao si sawa kwa kigezo cha Course content na gharama walizolipia kwenda university, Ali justify na kusema ni lazima wageni walipwe mshahara juu based on quality of edu waliyoipata hivyo ni haki kabisa kwa mzalendo ama mbogo kulipwa kidogo. Je wana Jf mna maoni gani juu ya hili ni sahihi kweli ukizingatia mtanzania ndio anakuwa na cheo cha chini mzungu anakuwa senior na previlledges kibao ticket za kurudi kwao n stuffs