Tofauti ya business information technology na computing and information technology??

John Hezron

New Member
Joined
Feb 4, 2018
Posts
2
Reaction score
2
Wadau habari zenu?

Hivi kuna tofauti gani kati ya business information technology na computing and information technology
 
Business ni mojawapo ya applications (matumizi) mbali mbali za information technology. Just like that.
Sawa na kuuliza tofauti kati ya engineering na civil engineering
 
Inaweza kuwa tofauti ni masomo. Sijui Computing and Information Technology kama wao pia wanasoma masomo kama niliyosoma mimi kwenye Business Information Technology ambapo ukiachia masomo ya IT nimesoma pia Business Organisation, Business Communication, Business Management na kadhalika.
 
Ok kwahiyo ulisoma vyote vya IT na nyongeza ya business??
 
Yes, ambayo naona ni nzuri zaidi. Kila kitu duniani ni biashara. Hata kuajiriwa ni biashara, unauza muda na ujuzi wako kwa mshahara.
So kama kuchagua, nashauri uchague Business in Information Technology
 
Inaweza kuwa tofauti ni masomo. Sijui Computing and Information Technology kama wao pia wanasoma masomo kama niliyosoma mimi kwenye Business Information Technology ambapo ukiachia masomo ya IT nimesoma pia Business Organisation, Business Communication, Business Management na kadhalika.
kwa maelezo yako ya business information technology basi kuna utofauti mkubwa sana na computing and information technology coz information technology ni software and hardware mfano kuna computer fundamental,database,programming,network,system analysis and design,internet and web development,security,administrator na vingine
 
Hivyo vyote unasoma kwenye Business Information Technology plus hayo ya business niliyotaja.
 
Zinapatikana wapi hizi koz..am interested with..business information technology
 
Back
Top Bottom