Tofauti sisi na wao

ha ha ha point mkuu...chukua tano zangu!!
 
Mzenji kavaa buti za tope alafu anachagua wapi pa kukanyaga,
 
Hehehehehehe.mie ngoja nipite.

Hili dongo funiko.
 
Kheri ya huyo alojibebea mwamvuli wake kuliko anayeruka matope!!
 
Viongozi wetu wapenda usultani sana...
 
Akitokea Sniper katika situation zote mbili,ni rahisi sana kwa Yakhe kudunguliwa.Bodyguard ndo kashika mwavuli,so concentration ipo kwenye mvua badala ya Usalama,walioambata naye wote macho yameelekezwa kizembe kwenye tope.
 
Mtoa mada umefanikiwa kufurahisha baraza. Hii ya chitchat. Tunataka hoja nzito kwa mustakbali wa Taifa achana na upuuzi wako.
 
Akitokea Sniper katika situation zote mbili,ni rahisi sana kwa Yakhe kudunguliwa.Bodyguard ndo kashika mwavuli,so concentration ipo kwenye mvua badala ya Usalama,walioambata naye wote macho yameelekezwa kizembe kwenye tope.

Watakwambia walienda kusomea marekani vip prot,kwahiyo usiwafundishe kazi.

Acha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…