Nyeupe,nyeusi,zambarau,kijani,chungwa,njano,damu ya mzee,pink,jani la mgomba,nyekundu,blue bahari,blue,silver,gold,rangi ya maziwa,
Mie rangi ambazo nazijua hazifiki hata tano
1.Nyeupe,
2.nyeusi,
3.zambarau,
4.kijani,
5.chungwa,
6.njano,
7.damu ya mzee,
8.pink,
9.jani la mgomba,
10.nyekundu,
11.blue bahari,
12.blue,
13.silver,
14.gold,
15.rangi ya maziwa,
mdogo wetu yule ndio alishika simu yangu
asante sana
Sasa hizi ndo hazifiki tano?
Teh teh utamuweza huyu mkeo kwa kujibalaguza
Hamna lolote mbona yangu huwa hashiki....atakuwa yule mtoto wako mkubwa unayelalaga nae chumbani kwako
asante sana
Mie rangi ambazo nazijua hazifiki hata tano
Nyeupe,nyeusi,zambarau,kijani,chungwa,njano,damu ya mzee,pink,jani la mgomba,nyekundu,blue bahari,blue,silver,gold,rangi ya maziwa,
mmh ufafanuzi kidogo
Hilo sentesi ina utata.Please ilekebishe kabla mlengwa hajafika😛
sawa hebu zitaje
aibu naona mimi nakwambia
Teh teh kauli sifuti
hapana sio mamaafacebook
Ingekua kizungu ningeangalia kamusi, hii sijui lugha ya wapi
Chonde chonde my wii hapa nilipo nina msala nae hebu usizidishe na huo please