Ngoshwe, ungepata mtaalamu akaiweka kibongobongo zaidi ingekuwa taaamu kweli!...kati ya wasichana hao lazima kungekuwa na parameter ya wowowo....piga ua!
wacha wee huwa mara kibao naona ladies wakipisha au kituoni kwa daladala wanavyoangaliana kuanzia kwenye kucha hadi utosini, akitoka hapo lazima akatafute alichovaa mwenzie, kile alichovaa yeye sasa anakuwa haamini km ni kizuri