Tofauti Kati ya vita na special Operation

Tofauti Kati ya vita na special Operation

Putin anamaanisha nini anavyosema siyo vita nchini Ukraine?
Operation ni mbwembwe tu na kupunguza ukali wa maneno ila kiuhalisia ni vita.

Miaka ile ya 1990, Rais George Bush mkubwa alipoivamia Iraqi ya Saddam Hussein ilikuwa ni vita kamili lakini yeye akachagua kuiita "Operation Desert Storm"
 
Kama majeshi ya Ukraine yanaweka kambi na vifaa vya kijeshi mashuleni, hospitali na kwenye maeneo mengine ya kijamii wakifanya mashambulizi tokea maeneo hayo huku wakiwatumia raia kama kinga yao, ulitegemea majeshi ya Urusi yawapelekee pipi, biskuti na juice cola?

Alitaka wapewe biriani [emoji16]
 
Operation unapata maelekezo kutoka FSB na vita unapata maelekezo toka Jeshi upo hapo
Vladimir-Putin-with-a-gas-pipeline_trans_NvBQzQNjv4BqNUHzxaamNmHDqK-YksWRz2o-yMLyYquKCawpyDOW254.jpg
 
Back
Top Bottom