Tofauti kati ya Tozo na VAT ni nini?

Tofauti kati ya Tozo na VAT ni nini?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,514
Reaction score
6,070
Naomba kujuzwa tofauti kati ya Tozo na VAT.

NB: Tozo kwa maendeleo ya taifa, tutoe tozo tufike mbali kama taifa

IMG_20220825_113634.jpg
 
Yani hapo ni sawa na mtu kuwa na hela kwenye mfuko wa shati na nyingine kwenye mfuko wa suruali....hela zote zako mifuko tu ndo imetofautiana
 
Tozo ni Adhabu au gharama tunayochajiwa raia wa TZ kwa ujinga na kutokuwa serious na siasa na maisha yetu.

VAT ni kodi ya ongezeko la thamani baada ya bei halisi.
 
VAT hukatwa kwenye makato ambayo serikali itapata 30% kama corporate Tax.

Tozo ni dude fulani lisiloeleweka
 
Back
Top Bottom