tofauti kati ya timu zetu na za wenzetu...!

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
wenzetu...galatasaray ya uturuki imeondoka leo kwenda ujerumani kucheza na timu ya shark o4 ikiwa na wachezaji 18 na viongozi wawili.
sisi...jogoo sports club imeondoka leo kwenda shelisheli kujiandaa na can ikiwa na wachezaji 11 na viongozi 13.
umeona tofauti?
 
Cjui ni uck sioni vzr
Galataray vs shark o4
Na
Huku Jogoo kwenda shelisheli inatoka nchi gani hiyo jogoo
 
wenzetu...galatasaray ya uturuki imeondoka leo kwenda ujerumani kucheza na timu ya shark o4 ikiwa na wachezaji 18 na viongozi wawili.
sisi...jogoo sports club imeondoka leo kwenda shelisheli kujiandaa na can ikiwa na wachezaji 11 na viongozi 13.
umeona tofauti?
Jogoo wameshindwa kusafiri leo mkuu. Wameenda mpaka airport ikashindikana wakarudi Bandani. Sijui tatizo lilikuwa ni nini!? Ila umeongea point.
 
wewe umenielewa,nakupa bonge la like...
 
Back
Top Bottom