kababu
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,699
- 804
Kama kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ni Km 1,100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano (1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu.
Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa saa moja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)
Kwa mfano, mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2,000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000 (14,400×2000). Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.
Hapo hatujajumlisha gharama za ‘service’ na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote.
Bombardier inatumia lita 1.187 ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Umbali wa Songea hadi Dares Salaam (Air Distance) ni takribani kilometa 537 sawa na miles 335.625.
Kwa hiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2,000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu (796,773). Swali la kiuchumi, jambo gani muhimu kati ya kugharimika 28,800,000 na kugharimika 797,000?
Kwa mtu yeyote mwenye mawazo tulivu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.