Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,268
Nakazia!Mkuu nadhani wewe ndio huelewi mhuni na mhalifu ni mtu mmoja.
Ili uwe mhuni unapaswa ufanye uhalifu.
Kwa kukusaidia tuu,
Yote uliyoyasema kwenye uhuni mfano ushoga, kutumia mihadarati, usagaji, matusi n.km vyote hivyo ni uvunjifu wa sheria, hivyo ni uhalifu.
Kumtukana mtu ni kuvunja sheria hivyo ni uhalifu.
Kutoka na Wake za watu ni kosa kisheria, ni uhalifu.
Ukishaambiwa wewe ni mhuni jua tayari kuwa wewe ni mhalifu yaani unaweza kuvunja sheria.
Kufuata sheria ndio maadili yenyewe, sasa ukivunja sheria ndio Uhuni wenyewe.
Kwa Sisi tunaojichanganya na wahuni tunajua wahuni ndio wahalifu wenyewe.
Yatosha asee nasema yatosha watu sasa hivi wanabadilishwa jinsia na kaka zao wanakuwa rojo na legelege kama wapemba siyo wahuni ama wahalifi. Watanzania jinsia zetu zimevurugwa.Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mhuni na mhalifu na kuleta mkanganyiko pale wanapotaka kufahamu tofauti ya watu hawa wawili...
Hivi ujui kama kutumia miadarati na kutusi watu ni kuvunja sheria. Ukiwa muhuni lazima utakua muhalifu tu.
Najikuta nacheka mkuuMkuu nadhani wewe ndio huelewi mhuni na mhalifu ni mtu mmoja.
Ili uwe mhuni unapaswa ufanye uhalifu.
Kwa kukusaidia tuu,
Yote uliyoyasema kwenye uhuni mfano ushoga, kutumia mihadarati, usagaji, matusi n.km vyote hivyo ni uvunjifu wa sheria, hivyo ni uhalifu.
Kumtukana mtu ni kuvunja sheria hivyo ni uhalifu.
Kutoka na Wake za watu ni kosa kisheria, ni uhalifu.
Ukishaambiwa wewe ni mhuni jua tayari kuwa wewe ni mhalifu yaani unaweza kuvunja sheria.
Kufuata sheria ndio maadili yenyewe, sasa ukivunja sheria ndio Uhuni wenyewe.
Kwa Sisi tunaojichanganya na wahuni tunajua wahuni ndio wahalifu wenyewe.
Najikuta nacheka mkuu
Mkuu nadhani wewe ndio huelewi mhuni na mhalifu ni mtu mmoja.
Ili uwe mhuni unapaswa ufanye uhalifu.
Kwa kukusaidia tuu,
Yote uliyoyasema kwenye uhuni mfano ushoga, kutumia mihadarati, usagaji, matusi n.km vyote hivyo ni uvunjifu wa sheria, hivyo ni uhalifu.
Kumtukana mtu ni kuvunja sheria hivyo ni uhalifu.
Kutoka na Wake za watu ni kosa kisheria, ni uhalifu.
Ukishaambiwa wewe ni mhuni jua tayari kuwa wewe ni mhalifu yaani unaweza kuvunja sheria.
Kufuata sheria ndio maadili yenyewe, sasa ukivunja sheria ndio Uhuni wenyewe.
Kwa Sisi tunaojichanganya na wahuni tunajua wahuni ndio wahalifu wenyewe.
Nakubaliana na wewe kabisaUtashangaa aliyetoa hoja anadegree.
Anashindwa kuelewa kuwa Neno mhuni lipo Kupunguza makali ya neno Mhalifu.
Kama vile Mdangaji Kupunguza ukali wa neno Malaya.
Ili uwe Mhuni itakupasa uvunje sheria Fulani