Kaputula La Marx JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 562 Reaction score 500 Dec 8, 2015 #1 Nahitaji kufahamu tofauti ya watu hao.Wana tofauti gani katika football maana kuna wakati anaitwa team manager na kuna wakati anaitwa head coach
Nahitaji kufahamu tofauti ya watu hao.Wana tofauti gani katika football maana kuna wakati anaitwa team manager na kuna wakati anaitwa head coach
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Dec 8, 2015 #2 Shabiby Video Line Coach
ngomai Member Joined Nov 9, 2014 Posts 43 Reaction score 17 Dec 8, 2015 #3 Head coach sio mtawala katika uendeshaji wa timu, nje ya uwanja, maneja ni mtawala wa yote