Tofauti kati ya Kikwete, Pinda na Lowassa

Tofauti kati ya Kikwete, Pinda na Lowassa

Joined
Dec 4, 2011
Posts
54
Reaction score
6
Ukiwafanyia tathmini ya haraka haraka, utagundua kwamba kila mmoja ana mapungufu yake!

Hata hivyo kwa uchache ni kuwa: JK ni mzito wa kuamua, mzito wa kutekeleza na mwepesi wa kusahau!

PM Pinda yeye ni mzuri katika kurudia rudia maamuzi yaliyotolewa JK na hivyo kumfanya awe kigeugeu kwa maamuzi yake mwenyewe, pia huonyesha tabasamu nyembamba pale anapotambulishwa na JK kama 'mtoto wa mkulima'!!

LOWASSA yeye ni mwepesi wa kuamua, na pia ni mwepesi wa kutekeleza maamuzi yake na maamuzi ya wakuu wake wa kazi. Fuatilia alipokuwa waziri chini ya Rais Mkapa, na baadaye akiwa waziri mkuu chini ya JK!!
 
Comrade upo sahihi kabisa wala hakuna shaka juu ya tasmini yako.
Naongezea kamchango kangu Mh Pinda hana maamuzi yake binafs sijui nyumbani kwake, pia ni kigeugeu mkubwa
 
Ukiwafanyia tathmini ya haraka haraka, utagundua kwamba kila mmoja ana mapungufu yake!

Hata hivyo kwa uchache ni kuwa: JK ni mzito wa kuamua, mzito wa kutekeleza na mwepesi wa kusahau!

PM Pinda yeye ni mzuri katika kurudia rudia maamuzi yaliyotolewa JK na hivyo kumfanya awe kigeugeu kwa maamuzi yake mwenyewe, pia huonyesha tabasamu nyembamba pale anapotambulishwa na JK kama 'mtoto wa mkulima'!!

LOWASSA yeye ni mwepesi wa kuamua, na pia ni mwepesi wa kutekeleza maamuzi yake na maamuzi ya wakuu wake wa kazi. Fuatilia alipokuwa waziri chini ya Rais Mkapa, na baadaye akiwa waziri mkuu chini ya JK!!
Lowassa is the best one! Tumwombe Mungu amjaalie afya njema ili 2015 aweze kuitransform Tanzania kutoka kwenye umaskini hadi kuwa paradise.
 
Lengo lako ni kumfanyia lowasa promotion

enjo usinielewe vibaya dadangu, sina nia ya kumfanyia promo LOWASSA, sidhani kama anahitaji promo yoyote. Hapa tunajadili utendaji tukihusisha na maamuzi magumu kwa maslahi ya Taifa!!

Haihitajiki promo yoyote au kumbeba mwanao aliyefaulu kwa kiwango cha divisheni wani, ila yule wa div.IV lazima abebwe!!! PM Pinda ndio haswa anayehitaji promo kwa muonekano wake!!
 
Hahaha Lowasa hana haja ya promo ni mkali since long time hata kikwete anajua ndo maana akampa uwaziri mkuu
 
No difference at all! wote wezi tu.. CCM imeozaa ile
 
No difference at all! wote wezi tu.. CCM imeozaa ile
lowassa ni kweli haitaji promo,ana kazi ambazo alisimamia na akaekeleza,pinda au kikwete wana lipi la kuigwa mfano? uwezo wa wa jk hakupaswa hata kuwa mkuu wa wilaya sema aliingia madarakani kwa promo sn,angalia alivyoingia madarakani alishinda kwa zaidi ya 80pc,2010 alishinda kwa 61pc,kama angegombea 2015 angeshinda kwa pc ngapi?
 
wote hawa hawafai kabisa tena wakuwakimbia na kuwaogopa kama ukoma.
 
Lowassa ni mtendaji na mchapakazi. hayo mengine ya wizi na ufisadi nawaachia mabingwa wa siasa za majitaka!
 
enjo usinielewe vibaya dadangu, sina nia ya kumfanyia promo LOWASSA, sidhani kama anahitaji promo yoyote. Hapa tunajadili utendaji tukihusisha na maamuzi magumu kwa maslahi ya Taifa!! Haihitajiki promo yoyote au kumbeba mwanao aliyefaulu kwa kiwango cha divisheni wani, ila yule wa div.IV lazima abebwe!!! PM Pinda ndio haswa anayehitaji promo kwa muonekano wake!!
nakubaliana nawewe kuwa lowassa ni jembe, mtu mmoja kufanya maamuzi magumu ya kuibia Watanzania mabilioni ya pesa na kutuacha na njaa kali ni maamuzi yanayohitaji mtu mwenye roho ngumu kama paka
 
1. mtoto wa mtungua nazi
2. mtoto wa mkulima
3. mtoto wa mfugaji
 
nakubaliana nawewe kuwa lowassa ni jembe, mtu mmoja kufanya maamuzi magumu ya kuibiwa Watanzania mabilioni ya pesa na kutuacha na njaa kali ni maamuzi yanayohitaji mtu mwenye roho ngumu kama paka
Mtindio wa ubongo ni ugonjwa mbaya sana! Tabula rasa?
 
lowassa ni sawa na nguruwe anayezaa watoto wake na kuwala mwenyewe.
 
Back
Top Bottom