Tofauti kati ya inbox ya mdada na mkaka

Tofauti kati ya inbox ya mdada na mkaka

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Inbox ya mdada:

1. I love u dear (Juma.)

2.Nikutoe out Leo? (John.)

3.Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine (Mwambi)

4.Sweetie! usisahau Trip ya Bagamoyo, uniambie nikupitie wapi (MD)

5.Darling, have you seen d credit I sent u?
(boss 1)

6.Honey najitahidi kukamilisha taratibu za kuleta posa nakupenda sana (Evans)

7. Hilo! jione kama umeshapata (Mheshimiwa 2)

8.Baby! check akaunti yako nimekuwekea kitu (Chairman)

Inbox ya mkaka:

1.Salio lako halitoshi kukamilisha ombi lako (TIGO)

2.Ukinitumia txt nyingine namwambia Rafiki yako (Jane)

3.Mwanaume gani unashindwa kutoa Msaada (Patricia)

4.Unajifanya hupokei simu lakini Wiki hii ni ya mwisho lipa Kodi au utoke kwenye Nyumba yangu(Baba mwenye nyumba)

5.Kaka nakutegemea Ada (Jaki)

6.Mwanangu Njaa inatuuwa usitusahau, Mungu akubariki(Mama)

7.Sijaziona siku zangu , napenda ujue hilo (Jirani House girl).

‪
 
Hahahaha hiyo No4 na 7 usiombe ikukute lazima akili ikukae sawa,unakuta kidume kinaongea pekeake barabarani na ishara kinafanya na ukimuangalia ni kijana mdogo tu ila maisha yamemyumbisha,noma sana!
 
"Mpenzi, sijaona siku zangu mwezi wa tatu sasa"
 
Kwa asilimia kubwa ni kweli, unakuta mpaka mtu anahofia kuicha simu yake anajua ikichunguliwa tu keshaanikwa. Ni jumbe za shida, lawama, matatizo na mizinga tu.
 
Hahaha...! Kweli japo siku hizi hata wadada wanadaiwa kodi, wanatuma pesa kwa mama zao na mengine mengi..!
 
Ha ha ha ha ha! teh teh teheeh!!!! UMENIFURAHISHA XANA AROOO.! Mpaka nimemkumbuka mwimbaji flani aitwa Mosh Wiliam....na tungo yake.."Wanaume tumeumbwaa, matessoo, matessooo kuhangaikaaa.

Halaf unamkuta humu bongoflava- generation analalamika eti nilimuoa akiwa masikini huyo, kaleta jeuri...nikampiga chini. Wiki tatu baadaye eti namkuta barabarani anaendesha V8...Sijui kapata wapi jamani!!!

WEWE UMEUMBIWA MATESO...HANGAIKA..acha kushindana na wanawake....Mungu kawapebdelea ili waunogeshe ulimwegu. SOMA???
 
Katika kitabu fulani cha Chinua Achebe msichana alimwambia kijana:

"I have not seen
my days".

Yule kijana akamjibu "go and look for them"!!!
 
namkumbuka mwali wangu wa biology pale wu jam, alisema, mwanamke si mtu wa kucheka nae, atakupita kwenye maendeleo, yeye ataolewa na kupewa magari n.k, na wewe utaolewa? tangia siku hiyo uwa nawaangalia tu na kuwagonga basi.
 
namkumbuka mwali wangu wa biology pale wu jam, alisema, mwanamke si mtu wa kucheka nae, atakupita kwenye maendeleo, yeye ataolewa na kupewa magari n.k, na wewe utaolewa? tangia siku hiyo uwa nawaangalia tu na kuwagonga basi.

Go on

Wagonge mpaka basi but,just remember what goes around what comes around

Utafanikiwa kupata wife scrapper because wajandaluma kama wewe watakuwa washamgonga kila upande mbele mzoefu nyuma mwenyeji

Na Mungu atakubariki na mkeo atajifungua mtoto wa kike then ..................(rat race goes on)
 
Back
Top Bottom