Tofauti kati ya akili na elimu

Tofauti kati ya akili na elimu

Fugitive

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
16
Reaction score
3
Habarini wana jamvi, kama ilivyo ada nmewaletea hoja hyo ili kunifahamishen mwenzenu tofauti iliyopo kati ya akili na elimu... Lakn lengo langu ni kuchochea ujenzi wa fikra(thinking)
 
Habarini wana jamvi, kama ilivyo ada nmewaletea hoja hyo ili kunifahamishen mwenzenu tofauti iliyopo kati ya akili na elimu... Lakn lengo langu ni kuchochea ujenzi wa fikra(thinking)
Kuna uwiano kidogo na pia kuna tofauti kubwa. Kati ya vitu hivyo viwili kimoja ni matokeo ya kingine. Namaliza kwa kukuuliza swali kuna tofauti gani kati ya SANGUINE na MC wa sherehe?
 
Back
Top Bottom