4 4realy Member Joined Mar 1, 2013 Posts 78 Reaction score 16 Mar 9, 2013 #1 Habari wana jukwaa..kwa mara ya kwanza naomba mniambie je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI au yanafanana.je unaweza mpenda mtu halaf ukawa huonyesh kumjali???msintukane naitaji kujua
Habari wana jukwaa..kwa mara ya kwanza naomba mniambie je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI au yanafanana.je unaweza mpenda mtu halaf ukawa huonyesh kumjali???msintukane naitaji kujua
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 Mar 9, 2013 #2 mkuu kwani huwa wanakutukana humu ndani!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,339 Reaction score 111,582 Mar 10, 2013 #3 Mbona unaiandika hii mada mara mbili mbili...mods please unganisheni hii mada na hii Nisaidieni.