Waarabu walitia sana aibu kwenye hii vita,
NB: nimesema Waarabu sijasema waislam
Ni hao hao, hadi leo wanaumia moyoniWaarabu walitia sana aibu kwenye hii vita,
NB: nimesema Waarabu sijasema waislam
Naona wataka matusi na ruoble... ndio Putin alitaka avunje rekodi kupitia Ukraine kwa 3 days operation? Amefeli pabaya sana; majenerali wamegeuzwa makafara uwanja wa vita!
Si wakavamie tu wakafute kwenye uso wa dunia kwanza kanchi kenyewe kadogooo na kamezungukwa na waarabu 😂😂😂😅😅Ni hao hao, hadi leo wanaumia moyoni
Wote washakuwa marafiki wa Israel ndo maana Palestina anapelekewa moto na hakuna anayesemaSi wakavamie tu wakafute kwenye uso wa dunia kwanza kanchi kenyewe kadogooo na kamezungukwa na waarabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Huwezi kutenganisha uislam na uarabu. Yaani maji na samaki.Waarabu walitia sana aibu kwenye hii vita,
NB: nimesema Waarabu sijasema waislam
Ila mimi nimemzungumzia Samaki tu 😎 😎Huwezi kutenganisha uislam na uarabu. Yaani maji na samaki.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Iran hapatani namataifa mengi ya kiarabu hata sasa, ye hujiona ni Superior MUAJEMI, sio mwaarabuMbona Iran simuoni hapo ambaye ni hasimu mkubwa wa Israel kwa Sasa? Au ni nini chanzo cha uhasimu wao ikiwa Iran so miongoni mwa nchi zilizo shiriki kwnye 6 days war!!!?
Kwenye kalenda ganiUle ushindi tuliyopata dhidi ya Hezbollah mwaka 2006 inabidi nao tuandae sherehe zake.
wapo waarab wakristu , nmepata bahat ya kukutana naoHuwezi kutenganisha uislam na uarabu. Yaani maji na samaki.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] umeeleweka mkuuWaarabu walitia sana aibu kwenye hii vita.
NB: Nimesema Waarabu sijasema waislam