today is my birthday...

today is my birthday...

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,992
Reaction score
3,879
birthday392.gif

kalou
 
Last edited by a moderator:
Party wapi tuje kula keki? Ngoja nikatafute chupa ya wine ya kuja nayo.
 
Mmmmmmmmmmmh! Age is a THIEF!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HAPPY BIRTHDAY!!!!!!!!!!!!! Japo Chelsea anabwela mbwela kwenye ligi! lol!
 
Mmmmmmmmmmmh! Age is a THIEF!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HAPPY BIRTHDAY!!!!!!!!!!!!! Japo Chelsea anabwela mbwela kwenye ligi! lol!

lara 1 nawe....ahsante..hayo ya chelsea muachie Mourihno..
 
Last edited by a moderator:
.
.
.
.
.
.
ina maana umepunguza mwaka mmoja katika jumla ya miaka utakayoishi,au umekisogelea kifo kwa mwaka mmoja zaidi.......so pole na hongera,kati kwa kati
 
^^
May God place upon you all the positive extraordinaries
Happy birthday kalou
^^
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Lazy mate Happy birthday........

halafu unapotea sana kalou au ndo washinda PM
 
Last edited by a moderator:
Lazy mate Happy birthday........

halafu unapotea sana kalou au ndo washinda PM

hah hah....kama hapa jukwaani kunanishinda maudhurio nitaweza pm kweli.... maisha tu yamekaba kidogo ....i miss u lazymate...
 
Last edited by a moderator:
hah hah....kama hapa jukwaani kunanishinda maudhurio nitaweza pm kweli.... maisha tu yamekaba kidogo ....i miss u lazymate...

I miss you too Lazy mate.......

pm unweza kua umejichimbia lakin nimekuelew sa hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom