Tochi njia ya singida - igunga

nummy

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
587
166
Wadau njia ya Singida kwenda Igunga inatisha sana kwa matochi ya trafiki, mimi binafsi naona kama huu ni mradi wa serikali na sio njia ya kuzuia ajali, kuna saidia nini zaidi ya usumbufu. Nimepita sehemu zingine speed limit ni 20kmph sasa hii ni barabara ya Taifa au uchochoroni, serikali iangalie upya suala la speed limit.
 
Back
Top Bottom