Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Wakuu habari zenu?
Kuna hii miwani ya spy glasses .mtu anaweza kununua halafu unaongea yeye anakurecord kwa muda wa saa moja na robo bila ya wewe kujua .
Kwa hii miwani ni rahisi sana kuchukua taarifa za mtu bila ya yeye kujua na kushangaa imekuwaje?
Twende kwenye mada sasa moja kwa moja, kumekuwa na sintofahamu kwenye hela kutolewa kwenye account ya bank au kwenye hela imetoka kwenye account ya bank kupitia kwenye namba ya simu ,bila ya wewe kujua halafu ukiuliza bank watakuambia hawajui flani ndio katoa hela kwenye account yako. Nenda police karipoti unariport unaishia tu kuwa na RB.
Watanzania mengi hawako makini, mko kwenye mstari wa kwenda kwa teller au kwenye ATM mtu card ya bank anaionesha kabisa iko wazi kabisa unaona card za namba zake zote wala anawasiwasi kabisa halafu baadae hela ikionekana imetoka wanaanza kuuliza mtu amewezaje kutoa hela na nani huyo?
Mtu anaweza kuwa na spy glasses hizo , na yeye anaenda kwenye ATM anapanga mstari kabisa na anatoa hela anasubiria siku au maeneo yenye watu wengi anakuja na miwani yake kavaa kumbe ana record video kwenye hiyo card yako maana unaishika nje hata haujaingia kwenye ATM, Umeishika mkononi kama ufahari au kabla haujafika kwa teller card iko mkononi namba zote zinaoneka nyuma na mbele yaani hadi zile password.
Hata Kwenye shopperz hizi watu wanatoa card wanampa mhudumu achanje card iko wazi.
Ana record pale maana yeye kurecordd ni kuangalia tu card yako wewe unajua huyu kavaa miwani tu, kumbe yeye akiangalia tu tayari ameisha ichukua card yako.
Anatembelea kwenye ATM na BANk ZENye watu wengi na yeye anatoa hela kama kawaida kabisa .baada ya hapo anatoa memory card iliyokwenye miwani anaweka kwenye computer anachukua namba za card ,password na mwaka wa expire.
Baada ya hapo kama alichukua taarifa za card zenu mwezi wa kwanza anasubiria mwezi wa 9 , wewe umesha sahau kama ulijiachiaga card wazi.
Anahamisha hela ziende kwenye account yake ya skrill, anatoa skrill anapeleka paypal kwa jina ambalo sio lake(majina na kila kitu cha account ni uhongo hakuna taarifa za kweli).
kuna kipindi hela ilitolewa kwenye account yangu nikaenda kuangilia jina alietoa hela yangu nani nakuta jina “TOUR69” nikajisemea moyoni Nisha pigwa hapa, bank walichofanya ni kufunga account yangu na kunipa card nyingine .
Juzi kati hapa kuna Rafiki yangu akawa analalamika wametoa hela yake kupitia simu banking halafu yeye hajui chochote anaenda bank wanamwabia aende police,
Me kutumia simu banking nilishakataaga kuanzia mwaka 2013, baada ya ndugu yangu mmoja aliondoka kwenda kusoma PHD marekani alivyorudi account wametoa hela zote kupitia simu banking, siwezi kukubali kutumia maana usalama wa kwenye namba za simu siamini sana.
Nikitaka kufanya malipo ya online natumia vodacom mastercard, nafungua account naweka hela nayotaka kulipia nikishalipia na futa account nikitaka kufanya malipo tena nafungua tena nikimaliza naifuta.Account yangu ya bank yenye hela muhimu kama salary na mambo mengine haipo kwenye mitandao , sizitumii card zangu za bank kufanya transaction yoyote.(hizo story zimeingilia tu hapa)
Tuendelee baada ya kutoa hela kwenye account zetu hakiwa hapa bongo kesho yake anaondoka au anaenda kuzitoa instanbul watakapokuwa wanabadilisha ndege kuelekea UK. wakati huo alishapata nafasi ya chuo kusoma Uingereza kule mjini bradford ,bradford university kusoma masters of data science and artificial intelligence.
Baada ya kutupiga hela zetu anaenda kulipia ada ya chuo uingereza na kufanya shoping ya vitu mbali mbali Pamoja na kulipia accommodation na kuagiza BMW X3 MPYA, maana kasomba hela za watu bongo. baada ya hapo anaiaribu NA kufuta account za awali za skrill na kusanga kabisa simu aliyofanyia miamala na sajiri zote kwenye heavy duty ushaidi hakuna.
Hapa bongo wanasubiria watu waliotolewa hela kwenye account zao mpaka wawe wengi ndio waone hilo ndio tatizo. Watu wachache itaoneka uzembe wenu tu.
Huku bongo sasa tuna baki unaenda police kufatilia labda watamkamata, jamaa yuko uk anakula Maisha.
Ni hayo tu wakuu tuwe makini na card zetu za bank na weekend njema.