EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Mwenzetu umesema bila ya mkono wa Mungu usingechomoka halaf unatuuliza kama yupo au la?Pale nilipogombana na mkewangu mkewangu akaenda nishitaki mahakamani kwa kosa la kumpiga mke siku ya kwenda mahakaman nikabeba shiling laki mbili kwaajili ya kuwatuliza wasikiliza kesi fika mbele namuona alieshikilia kesi ya wife nikamuita chemba nikamwambia, kiongozi fanya uwezalo nichomoke kwenye hiyi kesi, basi nikazama mfukoni, ile kutoa patupu kumbe hela nimeangusha home wife kachukua kaenda kuhonga kwa wakili asee ile kesi bila mkono wa mungu nisingetoboa, maana nilikaa ndani miez sita, ila wakuu mungu mwenyewe yupo kweli?
😅😅😅😅 duh Acha huyu Mungu aitwe MUNGUPale nilipogombana na mkewangu mkewangu akaenda nishitaki mahakamani kwa kosa la kumpiga mke siku ya kwenda mahakaman nikabeba shiling laki mbili kwaajili ya kuwatuliza wasikiliza kesi fika mbele namuona alieshikilia kesi ya wife nikamuita chemba nikamwambia, kiongozi fanya uwezalo nichomoke kwenye hiyi kesi, basi nikazama mfukoni, ile kutoa patupu kumbe hela nimeangusha home wife kachukua kaenda kuhonga kwa wakili asee ile kesi bila mkono wa mungu nisingetoboa, maana nilikaa ndani miez sita, ila wakuu mungu mwenyewe yupo kweli?
Nakubali sana MWAMBA🙏🏻🙏🏻🙏🏻Kuwepo siku ya leo ingekuwa sio unyama wa Sir. God aisee nisingetoboa.
Madame hakuamini kama Mungu yupo ni MSHANGAO tumwenzetu umesema bila ya mkono wa Mungu usingechomoka halaf unatuuliza kama yupo au la?
anha sawaMadame hakuamini kama Mungu yupo ni MSHANGAO tu
Hana imani na Mungu huyo ndio maana alibeba rushwamwenzetu umesema bila ya mkono wa Mungu usingechomoka halaf unatuuliza kama yupo au la?
Mungu yupi!?Pale nilipogombana na mkewangu mkewangu akaenda nishitaki mahakamani kwa kosa la kumpiga mke siku ya kwenda mahakaman nikabeba shiling laki mbili kwaajili ya kuwatuliza wasikiliza kesi fika mbele namuona alieshikilia kesi ya wife nikamuita chemba nikamwambia, kiongozi fanya uwezalo nichomoke kwenye hiyi kesi, basi nikazama mfukoni, ile kutoa patupu kumbe hela nimeangusha home wife kachukua kaenda kuhonga kwa wakili asee ile kesi bila mkono wa mungu nisingetoboa, maana nilikaa ndani miez sita, ila wakuu mungu mwenyewe yupo kweli?
Una umri gani dronedrake 😂nimeweza piga nyeto mwaka wa 3 sasa bila kuona K
Mungu endelea kunisaidia kijana wako
Mungu yupi!?Kila jambo ni muujiza kwasababu huwezi lolote bila uweza wa Mungu.
Ile kuamka tu na kuandika huu uzi ni muujiza tayari
Mungu yupi!?aisee muacheni tu Mungu na aendelee kuitwa Mungu
Aahaàaaaanimeweza piga nyeto mwaka wa 3 sasa bila kuona K
Mungu endelea kunisaidia kijana wako
Wewe unamjua Mungu au mungu yupi?Mungu yupi!?