Toa ushauri wako hapa

Mwananjengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
317
Reaction score
101
Kwa miaka 29 na bado uko single ni sawa na hauna hata girl freand? Uwezo ninao ila maadili ya dini yangu ndo mana nmetulia bado.
 
bravo kijana...this gf thing is over rated.
 
Mhhhhhhhhhhh! Sikupenda nitie neno ila imenibidi! I aint mockin you but im concerned abt u dude!

1. Out of curiousty ina maana zambi zingine hutendi kama Uwongo, Wizi na zingine zote au unahisi kwa kutovunja amri ya 6 baaaaaaaas! Umemaliza?

2.With 0 experience in Sexiology i can imagine utakavohaha kurizisha mwenzio ukute ni retired Pro!!!!!!!!!!! You better pack well!

3.Sometimes things are not exactly what we believe them to be! Better late than never!

Having said that i would like to take this opportunity on behalf of JF members and the stree KUKUPONGEZA KWA HALI NA MALI kwa kuwa mfano wa kuigwa na tunakutunuku tuzo ya LONGEST RECORD IN MALE VIRGINITY OF THE YEAR!!!!!!!!!! Enjoy it while it lasts! (30yrs of not gettin any aint a joke! This calls for some serious celebrations together with our beloved pal!😛hoto::third::bange::violin::msela::horn::tea:
 
congraturations bro....live the way u want.dz love thngz r not da swit khvy basi tu twaenda kimazoea.
 
Kwa miaka 29 na bado uko single ni sawa na hauna hata girl freand? Uwezo ninao ila maadili ya dini yangu ndo mana nmetulia bado.
Mkuu hapo ktk Bold mbona utuuliza sisi halafu unajibu mwenyewe. Hata hivyo bado sijaelewa unataka ushauri gani? kwa maana kuishi sio lazima uwe na mtu bali ni maamuzi tu.
 
maadili ya dini yako ndo yamekwambia usitafute mwanamke uoe.....,
fanya fasta uujue ulimwengu mwingine wa raha........,
 
Mkuu itaota kutu iyo! Anza kuifanyisha mazoezi mapema kabla haujaoa. They say practice makes perfect.
 
Hongera mkuu!
Nakushauri usiwe na papara, umri wako bila kufanya mapenzi mimi nakupa thumbs-up!
Wala mtu asikudanganye eti utakosa uzoefu, kwangu sidhani "kufanya mazoezi " ndo kupata uzoefu, vuta subra, omba Mungu akupe ubavu wako then utafurahia game ndani ya ndoa..... usitusikilize sisi tulioanza o'level, hamna faida yoyote, tumeumizana roho, tumebadilisha na kujaza vi'noah' na hamna la maana tulilovuna.
 

Poa mkuu,unanpa moyo wa kuwa mvumilvu bado.
 
maadili ya dini yako ndo yamekwambia usitafute mwanamke uoe.....,
fanya fasta uujue ulimwengu mwingine wa raha........,

Nadhani dini zote zinapinga uasherati na uzinzi, waliokuwa na uwezo wa kustahamili mihemko nawapa pongezi.
Tumshauri mwenzetu aoe aepukane na dhambi ya uzinzi/uasherati ambayo wengi wetu tunaifurahia! Au sio Heaven on earth ?
 
Last edited by a moderator:
Unataka ushahuri gani sasa?
you are doing well, keep it up
zaidi zaidi tupe siri ya mafanikio
 
Unapatikania wapi??....maana tunafanana kila kitu isipokua jinsia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…