Ila inaumaaa"DINI".
Kwakuwa tulikuwa dini tofauti na ilikuwa ni kikwazo kikubwa sana sana sana... Tuliamua kuachana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie nyie msinikumbushe machungu, nilikuacha S wangu leo kesho L wako nakuhitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
OooohSikuachana nae...niliachwa
Kimsingi hakuwa na sababu za msingi ndio mana hadi leo anataka kurudi
Yaani inauma sana... She was so good... Mwenye akili za maisha, muelewa, mstaarabu, anayejua kupenda...Ila inaumaaa
Pole bestNyie nyie msinikumbushe machungu, nilikuacha S wangu leo kesho L wako nakuhitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mpendwaHadi wangu alikuwa S badae nikasikia yupo na L πππ
Wewe ZIRO IQ: kila uzi wako unauliza maswali, leo tena unatuambia kwa nini, aaaaghUlikuwa unampemda, ulikuwa na malengo nae na ulitamani sana siku moja aje kuwa mke/Mume wa maisha yako,ulijitolea kwa kila kitu, ulipoteza muda wako ili tu kila siku umuone akiwa na Furaha,
lakini sasa imekuwa tofauti yule uliyemtegemea siyo tena yule aliye mbele yako,huyu wa sasa ni mwingine wala hukuwaza kwamba ipo siku utakutana nae,
"TOA SABABU KWA NINI ULIACHANA NAE"
CC Zero IQ
We hujaacha wala kuachwa? Naona unawapa pole wenzio tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pole best