Toa maoni yako

Toa maoni yako

Miss Neddy

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
14,684
Reaction score
8,761
1419570077950.jpg
 
Wanaume wafupi mara nyingi hawapendwi na wanawake na akipendwa na mwanamke ujue ana pesa ya kutosha.
Hali ya kutokupendwa wanaume wafupi huwaharibu kisaikolojia kwa kiasi fulani kwahiyo anapopata nafasi ya kuoa anahakikisha anatulia kwenye ndoa maana anaona kama bahati fulani imekuja kwake na hata hivyo akiwa kwenye ndoa ni vigumu kidogo kupata michepuko kuwa kuwa wengi hawapendwi.
Pia ukiuliza wanawake wengi ni aina gani ya wanaume wanaowapenda watakujibu ni wale ambao ni warefu.
Mtazamo tu.
 
Labda Ke au mfupi zaidi yake, hawa jamaa ni wakorofi maana muda wote wanahisi wana dharauliwa, maoni yangu mkuu si kusudio langu kumkwaza mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom