Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 4,135
- 11,396
Kwa kweli viongozi wanatoka mbali. Usione vyaelea vimeundwa!
who recruited him? and for whose interests?
who brought him to the system?
who was behind a MAN, the MAN who made him a president?
Is the president schützen MAN's interest?
hakuna lugha iliyokamilifu siunajua hata neno breki tumelitoa kwenye lugha ya malkia?Duh umeamua uchanganye na kijerumani humohumo!
Itakuwa borusia dotmundliverkusenbalakDuh umeamua uchanganye na kijerumani humohumo!
HaaaaahaaaaBila shaka hii siku ilikuwa valentine day
Naona kuna mtu kavaa tambara la deki lenye rangi za waganga wa kienyeji
Unamaanisha kuwa uvaaji wake haujabadilika ama?Kuna vitu havibadiliki hata wadhifa wako ukibadilika.
Unamaanisha kuwa uvaaji wake haujabadilika ama?
Naona kuna mtu kavaa tambara la deki lenye rangi za waganga wa kienyeji